Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

Hiyo picha umeichora wewe mkuu???

Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia huo ujinga au?
Mimi mwenyewe hiyo picha imenifikirisha sana, lakini huyo jamaa utamuonea tu, huo ujinga wanao haohao wazungu washenzi wanaomchora shetani ni black na maovu mengine kama hayo eti ni yetu, pumbav zao.
 
Putin aliwashughulikia vilivyo magaidi huko Syria waliokuwa wanasaidiwa na Marekani ili kumwondoa rais Asaad madarakani.

Huyu hapa na kauli yake ya chuma!
1658165618798.png

Anasema "kuwasamehe magaidi namwachia Mungu, lakini kuwapeleka kwa Mungu magaidi hao hilo ni jukumu langu"!
 
Hiyo picha umeichora wewe mkuu???

Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe ambao ndo wanaoshabikia hayo mambo wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia huo ujinga au?!

Hii siyo haki,wabaguzi wakubwa!!!
Picha haimaanishi hivyo unavyofkiria
 
Kwa hili unamuunga mkono Putin au humuungi?

Anapapatika na kushikilia chochote, of course namuunga mkono kwenye kuwakataa mashoga kwake maana hata mimi siwapendi, kwenye hilo tutaongea lugha moja, lakini asisahau bado tupo naye kwenye uwanja wa mapambano kwenye mengine, ataendelea kuchezea kichapo cha HIMARS.
 
BREAKING: Iran's National Oil Company has announced a $40 billion strategic cooperation agreement with Russia's Gazprom, in line with Putin's visit to the country.
 
Back
Top Bottom