STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Skia ww, unatakiwa uwakubali Urusi kwa kila jambo, ukweli wa machafu ya nato sio kama hamujui mnafahamu maovu yao na malengo yao ila mnajifanya wakaidi, mtaelewa tu... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
Russia iko tofauti Sana na nchi za magharibi kuanzia utamaduni na religious policies zao. Russia Dini ya orthodox inanguvu Sana mbaka kwenye ngazi ya maamuzi kitaifa tofauti na nchi nyingin ambazo dini ziko mbali na state affairs... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
hio sio geresha Russia ushoga lilikuwa ni kosa tena sheria zao haziruhusu kumtamkia mtoto kuwa duniani kuna mashoga.... safi sana! Kwa hili nawaunga mkono ila isiwe geresha za kisiasa kutaka kutafuta umaarufu! Why now? Maana sheria zao ziliruhusu sana ushoga na amekuwa madarakani muda mrefu sana akizitetea hizo sheria.
Eeh wanamfokoa Samadi siku nyingi sana huyoUnasema na yeye ni choko