Mimi mwenyewe hiyo picha imenifikirisha sana, lakini huyo jamaa utamuonea tu, huo ujinga wanao haohao wazungu washenzi wanaomchora shetani ni black na maovu mengine kama hayo eti ni yetu, pumbav zao.Hiyo picha umeichora wewe mkuu???
Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia huo ujinga au?
Jamaa ni mafala SanaHiyo picha umeichora wewe mkuu???
Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe ambao ndo wanaoshabikia hayo mambo wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia huo ujinga au.
Hii siyo haki,wabaguzi wakubwa!!!
Hata wewe,duhNimewaunga mkono
Picha haimaanishi hivyo unavyofkiriaHiyo picha umeichora wewe mkuu???
Kwanini hukuweka au hawakuweka mkono wa mtu mweupe ambao ndo wanaoshabikia hayo mambo wakaweka wa Mwafrica kwamba ngozi nyeusi ndo inayoshabikia huo ujinga au?!
Hii siyo haki,wabaguzi wakubwa!!!
Kwa hili unamuunga mkono Putin au humuungi?Sasa hivi ameishiwa anatafuta kila namna ya kutoka....
Kwa hili unamuunga mkono Putin au humuungi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ukisimama n'chale ukikimbia n'chale [emoji28]Kwa hili unamuunga mkono Putin au humuungi?