Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu majuzi si alisema kabisa ana uwezo wa kujam mifumo yote ya ulinzi ya taifa loloteMbaya zaid ilo jiji la Kiev lilikuwa under protected na mfumo ya ulinzi ya ujerumani
Alichofanya Urusi ni kutanguliza kombora moja liloweza Kupiga jamming mifumo yote ya ulinzi wa anga na kisha yakaja makombora ya yaliopiga makazi walioficha mamluki na wakufunzi kutoka West
Kuna video jana ilitamba sana misseli intercept ya Ukraine ikilipuka yenyewe angani
Huu ushauri unamfaa muigizaji Zelensky. Kalianzisha kwa kutegemea West watamuunga mkono, wote wamemkimbia.Hawa wakae wazungumze, wayajenge. Hawa ni ndugu pia jirani. Wasiingie kwenye mtego wa kuchonganishwa na mabepari.
Kwa mtazamo wangu. Wote wanapoteza.