Mbaya zaid ilo jiji la Kiev lilikuwa under protected na mfumo ya ulinzi ya ujerumani
Alichofanya Urusi ni kutanguliza kombora moja liloweza Kupiga jamming mifumo yote ya ulinzi wa anga na kisha yakaja makombora ya yaliopiga makazi walioficha mamluki na wakufunzi kutoka West
Kuna video jana ilitamba sana misseli intercept ya Ukraine ikilipuka yenyewe angani