Kukosa elimu ni janga la duniaNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Hapo wenyewe wanakwmbia wanaikomoa Ukraine [emoji23]Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Ww nawe ndondocha kweli, UN ni nchi za magharibi. Hv shuleni mlienda kujifunza nnIngekuwa haina faida yoyote kwa urusi nchi za magaribi zisingekuwa zinampigia magoti putini kumbembeleza afungue hiyo bandari hadi guteres kila siku analia hiyo bandari ifunguliwe lakini putin amekataa amesema haitafunguliwa hadi vikwazo vyote alivyowekewa viondolewe
Wewe mbumbumbu, kwani Ukraine inafaidika nini katika hili?Hapo wenyewe wanakwmbia wanaikomoa Ukraine [emoji23]
Nyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto tu hamna namna nyingine.Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Kwani hujaona vikwazoNyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto hamna namna nyingine.
Je unajua kama Urusi alishawahi kufanya kama hivi 2014? Alichuku eneo la kirai la Ukraini na mpaka leo ni sehemu ya Urusi na hakuna shobo.Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Tatizo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanajificha na silaha kwenye majengo ya raia,shule,hospitali na viwanda! Sasa majeshi ya Russia hayakuwa na namna zaidi ya kushambulia majengo.Angali mwenyewe jinsi walivyokuwa wanachomolewa kwenye kiwanda cha Azov steel industry.Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Uzi tayari, wachambuzi wa mchongo ni shidaNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Bado na ODESSA ili akiuke vyema zaidiKwani hujaona vikwazo