Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

Putin: People in Africa want to be as wealthy as people in Sweden.

How can it be done? By making them use solar? Has anyone explained the cost?

Go explain to them that they must live in poverty for 30 more years.

We cannot but support renewables.

We just need to be realistic. https://t.co/h2so8nxJDm
 
Sheria ipi na kifungu Gani mkuu . Hujui kuwa anapigana na serikali na wanajeshi ni serikali na serikali ni ya wananchi ⁉️ wakati mwingine najiskia vibaya kujibu porojo zako🤔🤔🤔
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
 
Hayo mashartri ya vita ni kwa Urusi tu?
Western wameziacha Libya, Syria, iraq magofu tu.
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Una ufinyu wa fikra.
 
Kumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea? Vipi kuhusu Ukraine ata export vp? We rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kuwatukana chadema Kama ulivyozoea. Uchambuzi wa mambo ya kimataifa siyo level yako.
 
kaangalie Ramani ya Ukraine sio kisiwa export zake zitapitia kwingine
 
Kumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea? Vipi kuhusu Ukraine ata export vp? We rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kuwatukana chadema Kama ulivyozoea. Uchambuzi wa mambo ya kimataifa siyo level yako.
Ukraine ina bandari 23 hizo hapo Haina moja au mbili.Hiyo ya mariupol ni mojawapo tu.List ya bandari za Ukraine hiyo hapo

Sea ports of Ukraine​

Nyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto tu hamna namna nyingine.
Juzi Rais wa Ukraine alisema siraha anazitumia Russia hazina viwango wakati Jeshi lake lote linajisalimisha, akapitiwa akasema Donbase ni Kama jehanamu kwa makombora yanayotua hapo. Tumweleweje Sasa.
 
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Watoe vifaa vya kijeshi hapatashambuliwa.
 
Kumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea?
Black sea hana udhibiti baharini meli zake za kivita za mrusi zimekuwa.zikizamishwa kila siku
Na uturuki.imeziba mlango wa kupita.meli za Urusi kwenda nje ya nchi kufunga mkono vikwazo!!! Urusi meli zake haziwezi kuingia au kutoka black sea.Mimeli take ikionekana tu black sea makombora ya Ukraine wanazizamisha
 
Anayepata hasara ni Ukraine! Kwa sababu miji yote ya bahari (Black sea) ikichukuliwa Ukraine itakuwa landlocked.
Haitakuwa na mlango bahari wo wote wa kupeleka
Kazi iko kwenye kuchukua

Kuchukua mji mmoja tu wa Ukrane wa Mariupol mrusi katumia miezi mitatu na ubabe wake wote !!

Sisi tulipopigana na Uganda tulichukua Uganda yote na miji yote kwa kipindi cha miezi mitatu!!

Russia kuchukua mji mmoja miezi mitatu!!

Ngoma bado nzito
 
Bado na ODESSA
Ili akili ziwakae sawa zaidi !!!!!
Gharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayo

Urusi imepoteza wanajeshi 26,350

Vifaru 1,187

Magari 2,856 ya kivita

Mifumo 528 ya kivita

Mifumo 185 ya kurushia roketi

Mifumo minane ya ulinzi wa anga

Ndege 199

Helikopta 160

Ndege 290 zisizo na rubani

Makombora 94 ya meli

Meli 12 au boti

Magari 1,997 na malori

Vitengo 41 maalum vya vifaa

Kufikia mji wa pili Urusi itakuwa hoi bin taabani
 
Source: uingereza
 
Hata iwe malengo lazma yafikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source: uingereza
Hata muda huamini kuwa Urusi imechukua miezi mitatu kuteka mji mmoja tu wa nchi ndogo.kama Ukraine?

Taifa linaloitwa kubwa kivita la Russia linatumia miezi mitatu kuteka mji mmoja.Pana mtu ana nguvu hapo?
 
Kazi iko kwenye kuchukua

Kuchukua mji mmoja tu wa Ukrane wa Mariupol mrusi katumia miezi mitatu na ubabe wake wote !!

Sisi tulipopigana na Uganda tulichukua Uganda yote na miji yote kwa kipindi cha miezi mitatu!!

Russia kuchukua mji mmoja miezi mitatu!!

Ngoma bado nzito
Hiyo siyo hoja! Umuhimu ni kufanikisha malengo hata ingechukua miaka 10!
Just imagine Russia anapigana na Ukraine ikisaidiwa na EU,NATO,US lakini bado mwanamme anawahenyesha.
 
Back
Top Bottom