Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Hata kuruhusu chakula wamekataa mpaka vikwazo ilivyowekewa viondolewe. Mzigo wote wa ngano (grains) unaopelekwa Ulaya upo hapo Mariupol Mkuu!Hicho chakula wanacholialia kiruhusiwe kitatima bandari gani,kwa akili za kindezi, Urusi itaruhusu chakula Tu,Ila bidhaa zake bataruhusu?
Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Haya nimeshakunywa ya kutosha nimemaliza. Vp unasemaje
Warusi mnachekesha kweli. Ww unazani mrusi atanitusi nimuache hivi hivi[emoji23]Makasiriko yatakuuwa [emoji2][emoji2][emoji2] msongo WA mawazo ni Jambo Baya sana
Hayo mashartri ya vita ni kwa Urusi tu?Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Una ufinyu wa fikra.Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Kumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea? Vipi kuhusu Ukraine ata export vp? We rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kuwatukana chadema Kama ulivyozoea. Uchambuzi wa mambo ya kimataifa siyo level yako.Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
kaangalie Ramani ya Ukraine sio kisiwa export zake zitapitia kwingineKumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea? Vipi kuhusu Ukraine ata export vp? We rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kuwatukana chadema Kama ulivyozoea. Uchambuzi wa mambo ya kimataifa siyo level yako.
Ukraine ina bandari 23 hizo hapo Haina moja au mbili.Hiyo ya mariupol ni mojawapo tu.List ya bandari za Ukraine hiyo hapoKumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea? Vipi kuhusu Ukraine ata export vp? We rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kuwatukana chadema Kama ulivyozoea. Uchambuzi wa mambo ya kimataifa siyo level yako.
Juzi Rais wa Ukraine alisema siraha anazitumia Russia hazina viwango wakati Jeshi lake lote linajisalimisha, akapitiwa akasema Donbase ni Kama jehanamu kwa makombora yanayotua hapo. Tumweleweje Sasa.Nyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto tu hamna namna nyingine.
Watoe vifaa vya kijeshi hapatashambuliwa.Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Black sea hana udhibiti baharini meli zake za kivita za mrusi zimekuwa.zikizamishwa kila sikuKumbe ndo huna akili hivyo, yaani hujui umhimu wa bandari na effect za Russia kudhibiti black sea?
Kazi iko kwenye kuchukuaAnayepata hasara ni Ukraine! Kwa sababu miji yote ya bahari (Black sea) ikichukuliwa Ukraine itakuwa landlocked.
Haitakuwa na mlango bahari wo wote wa kupeleka
Gharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayoBado na ODESSA
Ili akili ziwakae sawa zaidi !!!!!
Source: uingerezaGharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayo
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
Kufikia mji wa pili Urusi itakuwa hoi bin taabani
Hata iwe malengo lazma yafikiweGharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayo
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
Kufikia mji wa pili Urusi itakuwa hoi bin taabani
Hiyo siyo hoja! Umuhimu ni kufanikisha malengo hata ingechukua miaka 10!Kazi iko kwenye kuchukua
Kuchukua mji mmoja tu wa Ukrane wa Mariupol mrusi katumia miezi mitatu na ubabe wake wote !!
Sisi tulipopigana na Uganda tulichukua Uganda yote na miji yote kwa kipindi cha miezi mitatu!!
Russia kuchukua mji mmoja miezi mitatu!!
Ngoma bado nzito