Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu....

Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale.

The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it would include both vocalists and musicians.

The UK's ministry of defence highlighted the brigade's creation in an intelligence update on Sunday.

Meanwhile, Russian Defence Minister Sergei Shoigu visited frontline troops in Ukraine, the government said.

In a statement posted to Telegram, the defence ministry said Mr Shoigu "flew around the areas of deployment of troops and checked the advanced positions of Russian units in the zone of the special military operation".

It added that he "spoke with troops on the frontline" and at a "command post" - but the BBC cannot confirm when the visit took place or whether Mr Shoigu visited Ukraine itself.

The reported visit comes as UK defence officials said low morale continues to be a "significant vulnerability across much of the Russian force"

The UK said the new creative brigade - which follows a recent campaign, urging the public to donate musical instruments to troops - is in keeping with the historic use of "military music and organised entertainment" to boost morale.

But they questioned whether the new brigade would actually distract troops, who have been primarily concerned about "very high casualty rates, poor leadership, pay problems, lack of equipment and ammunition, and lack of clarity about the war's objectives".

Kichapo kimekuwa kikali mno.., urusi Kwa Sasa anatafta njia yoyote ya kupunguza maumivu ya kipigo anachopokea ikiwemo kutumia mbinu za kimila.,hii inaonyesha wazi kwamba kichapo tu kinamuingia sawasawa
Warusi wanazidi kuuwawa kama kumbikumbi.., binafsi namuomba rais zelensiky apunguze hasira zake na kutanguliza utu

1670087137779.jpg
 
Kichapo kimekuwa kikali mno.., urusi Kwa Sasa anatafta njia yoyote ya kupunguza maumivu ya kipigo anachopokea ikiwemo kutumia mbinu za kimila.,hii inaonyesha wazi kwamba kichapo tu kinamuingia sawasawa..,
Warusi wanazidi kuuwawa kama kumbikumbi.., binafsi namuomba rais zelensiky apunguze hasira zake na kutanguliza utu View attachment 2450966

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama kweli kuna Mungu, basi, analo jukumu kubwa kupindukia. Imagine, kiongozi wa kidini anatoa baraka kwa mtu anyeenda kumuua mwenzie kwa makusudi kabisa!!!!!!!!
 
Kama kweli kuna Mungu, basi, analo jukumu kubwa kupindukia. Imagine, kiongozi wa kidini anatoa baraka kwa mtu anyeenda kumuua mwenzie kwa makusudi kabisa!!!!!!!!
Ni hatari sana mkuu.., viongozi wa kidini wanatekeleza majukumu Yao kwa kufuata hamri ya dikiteta Putin [emoji848]
 
Fuatilia historia ya Baba yake Nape Mzee Nauye kazi yake ilikuwa ipi kwenye vita kati ya Tanzania na Uganda...au unajua vita ni sawa na mechi za Simba na Yanga.
 
Kichapo kimekuwa kikali mno.., urusi Kwa Sasa anatafta njia yoyote ya kupunguza maumivu ya kipigo anachopokea ikiwemo kutumia mbinu za kimila.,hii inaonyesha wazi kwamba kichapo tu kinamuingia sawasawa..,
Warusi wanazidi kuuwawa kama kumbikumbi.., binafsi namuomba rais zelensiky apunguze hasira zake na kutanguliza utu View attachment 2450966
Au aende vitani mwenyewe, maana wanauawa watoto wa wanawake wenzanzake
 
Back
Top Bottom