jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,404
- 4,973
Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana wanalazimishwa kuwa askari na kupelekwa kinguvu front-line Ukraine, huko wananyimwa mawasiliano na ndugu zao na wala hawahudumiwi wanapoumia kutokana na bajeti kuwa ngumu. Hao ni raia wa Urusi wenyewe. Source: Russian Soldier Reveals Conscripts Forced To Sign Contracts, Military Stopped Paying For Injuries
Nashangaa Waafrika tunakubali haraka haraka kuwa ndugu zetu walikuwa jela wakapewa msamaha kwa kukubali kwenda kupigana. Kuna kesi nyingi kama za huyu ndugu Nemes kwenye nchi nyingine za kiafrika with the same story: kwamba mtu alifungwa halafu akajiunga na Wagner Group ili asamehewe.
Inapaswa tujiulize maswali magumu kidogo sio kukubali tu:
Quote:
“They are switching entire regiments to contract [soldiers,] although the guys did not submit any formal requests for this, and took no such initiative. There are instances of physical violence, and beatings of those who refuse to become contract soldiers. And after that it’s completely unknown [what happens to them], because they take away their phones,” Andrei Kurochkin, the deputy chairman of the group, told Takie Dela.
Source: Russia Used Beatings and Tricks to Forcibly Send Rookie Troops to Ukraine, Rights Group Says
Hivi kama Urusi inalazimisha wananchi wake kupigana tunadhani raia wa Waafrika watathaminiwa? Nadhani Urusi inajua kuwa African countries ziko weak politically, ukichanganya na corruption, haziwezi kuleta ukali raia wake wakifanyiwa hivi.

- Waafrika wanaoenda Ulaya huwa ni watu makini kidogo wanaojitambua, most of them ni wasomi, sio hawa madogo wanaozamia Sauzi. Ukimuangalia Nemes na hawa wengine mbona hawaonyeshi dalili zozote za uwaluwalu utakaowafanywa wafungwe kwa lolote lile? These are mostly upstanding citizens.
- Hakuna taarifa zozote ambazo zilikuja kabla ya vifo vyao kuwa hawa Waafrika wana kesi mahakamani. Watu wanapoteza mawasiliano na familia zao halafu all of a sudden wanarudishwa maiti with the story ya eti walikuwa na kesi, walifungwa, wakaenda kupigana kwa msamaha. Mbona familia zao last contact na wapendwa wao walikuwa shule? Kwa mfano: kesi ya Nemes iliyomfanya afungwe ilikuwa ni nini?