Unapajua vizuri Ufaransa kwa uzuri? Kwa uchumi Ujerumani inaongoza Ulaya.... kwenye uzuri Ufaransa ni habari nyingineUingereza ufaransa na ujerumani hatii mguu Kwa urusi.
Ufaransa kuna Panya buku ukubwa wa Sungura,na kunguni wamejaa mpaka kwenye city park.Unapajua vizuri Ufaransa kwa uzuri? Kwa uchumi Ujerumani inaongoza Ulaya.... kwenye uzuri Ufaransa ni habari nyingine
Sasa panya si viumbe wanaoishi duniani pia mkuu?Ufaransa kuna Panya buku ukubwa wa Sungura,na kunguni wamejaa mpaka kwenye city park.
Kule wanezidi alafu wana mbinu za kusurviveSasa panya si viumbe walinaoishi duniani pia mkuu?
Ina uchumi mkubwa wa kawaida sio kwamba ni tajiri sana labda kama unaongelea rasilimali.Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi.
Ni sehemu salama sana.
Unaish urusi ipi mkuu?Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi.
Ni sehemu salama sana.
Uingereza ufaransa na ujerumani hatii mguu Kwa urusi.
Anaishi au kasimuliwa kijiweni na boda boda wenzie?Unaish urusi ipi mkuu?
Swali zuri sana Russia hakuna hata mji mmoja tu uliopo kwenye top ten ya majiji mazuri dunianiUnaish urusi ipi mkuu?
Hizo ni data za mashirika ya magharibi ambayo yalitabili urusi itaaamguka Leo mwaka wa ngapi. Leo wao ndo wanaousifia uchumi wa kenya kuwa uko vizuri , je maisha ya kenya na Tanzania yepi nafuu.UK GDP ni 3.84 USD Trillion na Russia GDP ni 2.02 UDS Trillion. Purchasing Power Parity (PPP) UK Iko juu sana kwasababu bei za vitu vipo juu na kwa Russia iko chini kwasababu bei za vitu iko chini.
UK kwa uchumi wa dunia ni tano (5) na Russia ni ya kumi na moja (11).
KenyaHizo ni data za mashirika ya magharibi ambayo yalitabili urusi itaaamguka Leo mwaka wa ngapi. Leo wao ndo wanaousifia uchumi wa kenya kuwa uko vizuri , je maisha ya kenya na Tanzania yepi nafuu.
Unaiangalia monaco kwenye insta, umekaa wapi kwa france ?Unapajua vizuri Ufaransa kwa uzuri? Kwa uchumi Ujerumani inaongoza Ulaya.... kwenye uzuri Ufaransa ni habari nyingine
Nimekaa Paris, London,Leeds, Bingham,Dallas(Us) just to mention a fewUnaiangalia monaco kwenye insta, umekaa wapi kwa france ?