Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Sawa. Nawe leta data za kuaminika basi. Au maneno yako yanatosha?Hizo ni data za mashirika ya magharibi ambayo yalitabili urusi itaaamguka Leo mwaka wa ngapi. Leo wao ndo wanaousifia uchumi wa kenya kuwa uko vizuri , je maisha ya kenya na Tanzania yepi nafuu.
Nimekaa Paris, London,Leeds, Bingham,Dallas(Us) just to mention a few
Pamoja mkuusafi sana.
Ninachomasnisha ni kwamba mara nyingi vyombo vya magharibi vimekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia sababu wao ndo hujifanya kuamua vipimo vya maendeleo ya Dunia, Sasa linapo kuja swala la urusi Huwa Wana chemka. Ila simaanishi warusi Wana maisha mazuri Sana Lila wako vizuri kuliko nchi nyingi za ulaya na Asia, Nyumba za kuishi zipo huwezi Kuta homeless pia matibabu ni uhakika . Nchi za magharibi mfuko wako ndo unaoamua aina ya matibabuSawa. Nawe leta data za kuaminika basi. Au maneno yako yanatosha?
Dogo kwenye kujenga hoja za kisomi unatakiwa kuweka supporting data. Kama hauna potezea.Ninachomasnisha ni kwamba mara nyingi vyombo vya magharibi vimekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia sababu wao ndo hujifanya kuamua vipimo vya maendeleo ya Dunia, Sasa linapo kuja swala la urusi Huwa Wana chemka. Ila simaanishi warusi Wana maisha mazuri Sana Lila wako vizuri kuliko nchi nyingi za ulaya na Asia, Nyumba za kuishi zipo huwezi Kuta homeless pia matibabu ni uhakika . Nchi za magharibi mfuko wako ndo unaoamua aina ya matibabu