Urusi: Tuko tayari kukaa mezani tuyamalize

Urusi: Tuko tayari kukaa mezani tuyamalize

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Ukiona hivi ujue mkubwa kashikwa kubaya.Sasa hivi anaomba poo ,ila itakua jambo la busara wakiyamaliza mezani kiukweli vita siyo vizuri ,sikia kwa wenzako tuu.
Zelesky tunaomba ushushe asira mambo haya tuweke sawa ,

----​

9282feb841ff919d60f1f12ffa25e4a8

ROMAN PETRENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 15:52

Dmitry Peskov, spokesperson for the President of Russia, claimed that the government was ready to negotiate with Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, about how "Moscow’s conditions will be met" in order to end the war.

Source: Peskov, cited by Russian Kremlin-aligned media outlet Interfax

Details: In an interview for a propagandist TV programme titled "Moscow. Kremlin. Putin", Peskov was asked about what Russia would discuss with Zelenskyy, given that the Ukrainian President had stated he would not negotiate with Moscow.
 
Kuna mto Ukraine uniaitwa Dnipro upo Kherson ni wa muhimu sana kwa pande zote mbili, ni mto mkubwa sana Europe, ni moja ya sababu inayofanya Kherson kuwa ya muhimu kimkakati, Russia akiichukua Kherson basi ameiweza Ukraine ukiacha Kiev.
 
Aiseee mbona ghafla Sana miezi michache iliyopita Zelenksy ndo kila siku alikua anakesha akiomba mazungumzo na Putin Leo hii Russia ndo wanataka mazungumzo na Zelenksy halafu mwenyewe hataki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russians mara zote ndio alikua anaomba mazungumzo alikua hataki vita Hila jamaa NATO wakamdanganya akawa hataki mazungumzo
 
Russians mara zote ndio alikua anaomba mazungumzo alikua hataki vita Hila jamaa NATO wakamdanganya akawa hataki mazungumzo
Walimdanganya vipi?! Russia alitoa demands ambazo hazitekelezeki ikiwemo NATO waondoe wanajeshi pamoja na vifaa vya kivita kwenye nchi za Baltic Lithuania,Estonia,Latvia. NATO ilishakubali kufanya mazungumzo na Russia ili kuzuia kutokea Kwa hii vita lakini Putin kujifanya kichwa ngumu akavamia akijua atakua kamaliza kazi ndani ya wiki tu na kupachika kibaraka wake Kiev matokeo yake mpaka sasa ni mwezi wa 7 wapo vitani na hakuna dalili ya Vita kwisha Leo au kesho.

Tukubaliane tu Putin kaivamia Ukraine kwa sababu zake nyingine hiyo ya kutaka kujiunga NATO ilikua kama kisingizio tu.
 
Keshamaliza kazi ya kupoka miji muhimu ya donbass na kherson imayokaliwa na watu was asili ya urusi....ambayo kwa vyovyote vile haitaridi tena ukraine
Donbass haijatekwa yote. Donbass inaundwa na majimbo 2 ya Donetski na Luhansk. Mpaka Sasa Urusi imefanikiwa kuutwa Mkoa mmoja TU wa Luhansk. Donetski imeshindikana kuchukuliwa na Warusi. Na usitegemee kwamba wataweza kuuchukua kwasababu Urusi imehamisha zaidi ya Wanajeshi 30,000 kutoka Donbass kwenda Kherson Kupambana na Wanajeshi wa Ukraine wanaofanya Counter Offensive.
 
Donesky ya wapi hiyo siku nyingi donesky IPO chini ya urusi.
 
Back
Top Bottom