Urusi: Tuko tayari kukaa mezani tuyamalize

Urusi: Tuko tayari kukaa mezani tuyamalize

Walimdanganya vipi?! Russia alitoa demands ambazo hazitekelezeki ikiwemo NATO waondoe wanajeshi pamoja na vifaa vya kivita kwenye nchi za Baltic Lithuania,Estonia,Latvia. NATO ilishakubali kufanya mazungumzo na Russia ili kuzuia kutokea Kwa hii vita lakini Putin kujifanya kichwa ngumu akavamia akijua atakua kamaliza kazi ndani ya wiki tu na kupachika kibaraka wake Kiev matokeo yake mpaka sasa ni mwezi wa 7 wapo vitani na hakuna dalili ya Vita kwisha Leo au kesho.

Tukubaliane tu Putin kaivamia Ukraine kwa sababu zake nyingine hiyo ya kutaka kujiunga NATO ilikua kama kisingizio tu.
Nakazia
 
Aiseee mbona ghafla Sana miezi michache iliyopita Zelenksy ndo kila siku alikua anakesha akiomba mazungumzo na Putin Leo hii Russia ndo wanataka mazungumzo na Zelenksy halafu mwenyewe hataki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matumaini ya ushindi yanafifia
 
Ukiona hivi ujue mkubwa kashikwa kubaya.Sasa hivi anaomba poo ,ila itakua jambo la busara wakiyamaliza mezani kiukweli vita siyo vizuri ,sikia kwa wenzako tuu.
Zelesky tunaomba ushushe asira mambo haya tuweke sawa ,

News

getApp


5be5b59e2f2402735abfd8b8aca9662f.jpeg

Michezo Mipya ya Casino Imewadia.

AdGal Sport Betting


Ukrayinska Pravda

Kremlin considers negotiations again, although "special operation going as planned"​

Ukrainska Pravda
Sun, September 4, 2022 at 3:52 PM·1 min read
In this article:
  • Dmitry Peskov
    Russian politician
  • Volodymyr Zelensky

    Volodymyr Zelensky
    Sixth and current President of Ukraine
  • Roman Petrenko
    Russian businessman
  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia

9282feb841ff919d60f1f12ffa25e4a8

ROMAN PETRENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 15:52
Dmitry Peskov, spokesperson for the President of Russia, claimed that the government was ready to negotiate with Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, about how "Moscow’s conditions will be met" in order to end the war.
Source: Peskov, cited by Russian Kremlin-aligned media outlet Interfax
Details: In an interview for a propagandist TV programme titled "Moscow. Kremlin. Putin", Peskov was asked about what Russia would discuss with Zelenskyy, given that the Ukrainian President had stated he would not negotiate with Moscow.
Kwani hizi terms and conditions si alipewaga mwanzoni kabla hata vita kuanza wakagoma, hakuna jipya ataendelea kupigika hadi Kyiv huku akipoteza bandari, viwanda vya chuma na mbolea na nashamba ya ngano
 
Urusi Shikilia hapohapo Dadaa
Na log off Z
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Mpumbavu Sana putin ubabe mwingi kichwani box. Kwann hakuzungumza zamani
 
Mkuu unakosea, kwanza unatakiwa kuelewa tofauti za kimaeneo na maana Example-Donbas, Donetsky, and Luhansk.
Me navoelewa Donbas = Donestsky + Luhansky

Je vip Kherson nayo iko humo au yenyewe iko kivyake huko?
 
Back
Top Bottom