Urusi: Tuko tayari kukaa mezani tuyamalize

Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
 
Nakazia
 
Hayo ndio yalikuwa malengo ya uvamizi wake?
Ndio hapo maeneo aliyoteka mrusi na kuanza kujenga hayawezi kurudi!Hiyo ndio condition,sioni vita ikiisha!
 
Aiseee mbona ghafla Sana miezi michache iliyopita Zelenksy ndo kila siku alikua anakesha akiomba mazungumzo na Putin Leo hii Russia ndo wanataka mazungumzo na Zelenksy halafu mwenyewe hataki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matumaini ya ushindi yanafifia
 
Kwani hizi terms and conditions si alipewaga mwanzoni kabla hata vita kuanza wakagoma, hakuna jipya ataendelea kupigika hadi Kyiv huku akipoteza bandari, viwanda vya chuma na mbolea na nashamba ya ngano
 
Urusi Shikilia hapohapo Dadaa
Na log off Z
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Mpumbavu Sana putin ubabe mwingi kichwani box. Kwann hakuzungumza zamani
 
Mkuu unakosea, kwanza unatakiwa kuelewa tofauti za kimaeneo na maana Example-Donbas, Donetsky, and Luhansk.
Me navoelewa Donbas = Donestsky + Luhansky

Je vip Kherson nayo iko humo au yenyewe iko kivyake huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…