Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hio pensheni ilianzia wapi?? " mtawaokota haohao mamburura wenu,,,,,, Mfaransa baada ya hali ya uchumi kua mbaya ndo akachokonoa kwenye pensheni na kinachoendelea ndo hikoFrance wanaandhama kuongezewa Pencheni kama hapo bongo munavyomlalamikia Samia, hakuna uhusiano maandamano ya France na vita ya Ukrean wala vikwazo alivyoekewa mrusi ni hujitumi tu kutaka kujua mambo ya ulimwengu
Putin anatatizoo la baadhi ya watu wake wa karibu kutofurahishwa na mwenendo wa anachokifanya. Huenda sasa anarusha midori ikulu ili kuwatia watu uwoga na kisha wamuunge mkonoKweli inawezekana ikawa mbinu ya kumuondoa Joti
Kwani mpaka Russia inaivamia ukraine, ilikuwa imeshambuliwa kwa makombora mangapo?Ukishambulia russia km ilikuwa kwa siku makombora 30 utaongezewa inakuwa makombora 100 kwa siku mpk ujute
Ukraine kashachukua maeneo na ataendelea kuchukua Maeneo.amechukua maeneo Kwa kutumia ninihiyo hapo Ukraine ni kielelezo tosha
Wewe hizo habari kuwa watu wa karibu yake kutofurahishwa umepata wapi?Putin anatatizoo la baadhi ya watu wake wa karibu kutofurahishwa na mwenendo wa anachokifanya. Huenda sasa anarusha midori ikulu ili kuwatia watu uwoga na kisha wamuunge mkono
Russia ndio anajitekenyaKremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2
Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka
Unaota bro.Urusi hana nia hiyoNadhani kuna jambo linatengenezwa ambalo sio zuri...Ila naamini Urusi haiwezi kupigwa kirahisi hivyo tena Ikulu ya Rais hilo suala sio rahisi hata Ikulu ya Burundi ina mitambo ya kuzuia vitu kama Hivi na hiyo ni Burundi imechoka sana hoi..Ila kwa Zelensky akae chonjo watamua sasa..Sio muda mrefu sasa watamuua na hamna kitu Marekani itafanya,,,Huyu ameingia kwenye 18 za Russia watamua soon.
Kama watamuua zele na yy atauwawa tu hakuna kinachoshindikana.Nadhani kuna jambo linatengenezwa ambalo sio zuri...Ila naamini Urusi haiwezi kupigwa kirahisi hivyo tena Ikulu ya Rais hilo suala sio rahisi hata Ikulu ya Burundi ina mitambo ya kuzuia vitu kama Hivi na hiyo ni Burundi imechoka sana hoi..Ila kwa Zelensky akae chonjo watamua sasa..Sio muda mrefu sasa watamuua na hamna kitu Marekani itafanya,,,Huyu ameingia kwenye 18 za Russia watamua soon.
FactPutin anatatizoo la baadhi ya watu wake wa karibu kutofurahishwa na mwenendo wa anachokifanya. Huenda sasa anarusha midori ikulu ili kuwatia watu uwoga na kisha wamuunge mkono
Ukishambulia russia km ilikuwa kwa siku makombora 30 utaongezewa inakuwa makombora 100 kwa siku mpk ujute
Wewe mpumbavu aise, tumia japo akili kiduchu Putin hana uwezo kwa sasa wa kufanya chochote ndani ya Ukraine, matamko ya Putin yamekuwa mengi sana but hakuna hata moja lililotimizwa so watu wamezoea ujinga wakeHahahahahaha wahuni wanamtafutia sababu Zele ya kuwahishwa jehannam
Daaaaah yaaani mambo ya Ukraine na Russia ndo yanakufanya unitusi kuniiita mpumbavu??Wewe mpumbavu aise, tumia japo akili kiduchu Putin hana uwezo kwa sasa wa kufanya chochote ndani ya Ukraine, matamko ya Putin yamekuwa mengi sana but hakuna hata moja lililotimizwa so watu wamezoea ujinga wake
naona Tanzania mmeanza kushabikia vita kama mnaifahamu.. acheni hizi mambo..
Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita
Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi.
Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine
Uzuri hizo drone zimetengenezwa na Ukraine wenyewe.
Wacha tusubiri majibu yake ndani ya hizi siku 3.
---
Russia claimed Wednesday that Ukraine tried to assassinate President Vladimir Putin in an overnight drone attack on the Kremlin.
The accusation, made without providing evidence and without immediate reaction from Kyiv, was the latest in a string of reported incidents inside Russia and far from the war's front lines.
In a statement on the Kremlin's website, Putin's press service said that Russian military and special services had disabled two attacking drones that were "aimed at the Kremlin."
It blamed the alleged attack on Ukraine and said that no one was hurt by falling debris from the alleged drone attack in the heart of Moscow.
"We regard these actions as a planned terrorist act and an attempt on the life of the president, carried out on the eve of Victory Day," the statement said, referring to the May 9 celebration of the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II.
"The Russian side reserves the right to take retaliatory measures where and when it sees fit," it added.
There was no immediate official reaction from Kyiv to the alleged thwarted assassination attempt. Russia has frequently accused Ukraine of planning attacks inside the country, often met with denials from Ukraine.
NBC News has reached out to the Ukrainian government for comment.
Following the news, Andriy Yermak, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy’s chief of staff, posted three fire emojis on his Telegram channel without any commentary, but deleted the post shortly after.
Russian war hawks have also weighed in.
“Maybe it will kick off for real now?” Margarita Simonyan, head of the Russian state broadcaster RT, posted on Telegram.
Simonyan is one of the most vocal pro-war public figures in the country.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov told state news agency RIA Novosti that Putin was not in the Kremlin at the time of the alleged attack, and was working out of a presidential residence near Moscow. The Kremlin said the president’s schedule was unaffected by the incident.
Peskov added that plans to hold the Victory Day parade in Red Square remain in place, according to the agency.
Some military analysts, however, questioned whether the alleged incident could be seen as an assassination attempt.
"This looks like #Ukraine (assuming it was Ukraine) is trying to bring the war home to #Russia, by hitting symbolic targets," said Michael A. Horowitz, a geopolitical and security analyst, and head of intelligence at Le Beck consultancy, in a tweet.
The alleged incident comes 14 months into Russia’s invasion of Ukraine and ahead of an expected counteroffensive by Kyiv's military.