Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Najiuliza tu hii video sio ya CCTV inaonekana Kuna mtu aliii record Sasa he huyu mtu alijuaje tukio hili.lita tokea?Kremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2
Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka