Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Russia says "we will avenge each and every one. And those who are involved in the attacks, regardless of the country of origin and status, are now our main and legitimate target.

You just wait, bastards."
 
Hao watuhumiwa watahitaji kufa ila kifo kitakaa mbali nao, huo uchungu wanaokutananao hakuna kiumbe hai mwenye kuvumiliaa!

Fikiri, nchi yenyewe yenye Vita Ukraine imekataa kubeba msalaba huo ili hali wangepaswa washangilie kwamba wamemchapa adui ndani, wameruka mbali wanajua gharama ya msalaba huo!!

Hakuna cha kuwa na wakili au kupelekwa mahakamani ni mateso magumu ambapo mwishoe pia ni kufa tu

Asalaaaleee bora wangebaki na familia zao kula tambi kwa juice mixer upapa laini kwa wife
Naona simanzi juu yao
 
Hakuna nchi itakayokubali kuubeba hùo msalaba ni mzito haswaa. Shambulio kubwa sana la anga kufanyika usiku huu huko Ukraine. Kaa tayari kutega sikio ni vilio kila kona ya dunia. Ukraine alikua anapigwa taratibu sana naona kavimba kichwa sasa wacha mzazi amfunze adabu.
 
US Vice President Kamala Harris on Putin's words that Ukraine was preparing to help terrorists leave Russia: “There is no evidence of this”

Mbona wanatokwa na mapovu kabla hata Putin Urusi hawajafanya maamuzi,
 
Hizi kamba tu, Afghanistan na Xinjiang wapi na wapi? Xinjiang ni Turkic ethnicity people sawa na kina Tajikistan, Uzbekistan, Kazakhstan, Uturuki etc Afghanistan ni kama kina India na Pakistan.

Ugomvi baina ya China na jimbo la Xinjiang ni unatokana sana na Ethnicity, Ethnicity kubwa ya China ni Han people ambao wana wa Opress minorities kama hao Ughuyr wanaopatikana hilo eneo, by appearance Ughuyr sio kama wachina. Ila waisilamu ambao ambao appearance zao ni kama Han kama vile Hui people nao pia wanashirikiana na Han kuwa Opress Ughuyr.
Afghanistan na Pakistan kiasili wanaendana na Tajikistan na hao Uzbekistan.
Afghani na Paki sio Indian origin hata kidogo wana unasaba mkubwa wa kiajemi .
 
Waislam wanavyowatetea hao magaidi unaona kabisa hii dini ina walakini!

BILA UISLAM DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI
Acha kuropoka takataka kama umekunywa maji machafu.
1)VITA YA KWANZA YA DUNIA ALIANZISHA MUISLAM?
2)VITA YA PILI YA DUNIA ALIANZISHA MUISLAM.
3)UKOLONI NA MAUAJI YA KIMBALI YALOFANYIKA KATIKA MAKOLONI HUSUSAN YA KIINGEREZA NA KIJERUMANI YALIANZISHWA NA MUISLAM??
4)VITA YA UKRAINE ALIANZISHA MUISLAM??
5)KUIVUNJA USSR ALIANZISHA MUISLAM??
6)VITA ZA IRAQ NA SYRIA NA LIBYA ALIANZISHA MUISLAM??
FALA MKUBWA WEWE.
Embu jibu hayo maswali kwanza.
 
Nani amesema akuuwe, au umeielewa vibaya comment yangu!
Kaka embu mpuuze huyo.
Unaongea na mtu mwenye matatizo ya akili kichwani hajielewi.
Usikute kijana mwenye balehe wa form 3 kachukua simu ya dada akiwa kwa shemeji yake sebuleni anapiga kelele humu.
 
We nenda kasikilize BBC au katizame Taarifa za Habari za Aljazeera na media nyingine za kimataifa usikie ndugu zako wanvyoongelewa huko kila siku.

Yani nchi zote zenye uislam duniani ndizo kila siku zinaongelewa kuwa na shida ya milipuko ya kujitoa mhanga, anzia huku Somalia, Egypt, sudan, Yemen, Saudi Arabia nakadhalika. Nyie kila siku mabomu tu. Hatujaongelea bado hao wapalestina wenyewe waliowashikilia mateka wa israeli

Vikundi vyote vya TERRORISM asilimia 99% ni vya kiislamu tena wanajiita kabisa waislam wenye Itikadi kali.

Acha kabisa bana.
Unajua vyanzo ya hivyo vikundi?
Kuna maujai ya watu wengi kuliko ya Crusade war,World war 1 and 2??
Embu tupe jibu hapo.
Hitler na Benito Mussolin je hao pia ni waislam??
Hayo mambo ya middle east hauna ubongo wa kuyaelewa eidha we ni mtoto mdogo au hauna elimu nayo.
 
Badala ya kukaa kwenye fact unaendekeza udini.
Udini hautakupeleka popote bwana mdogo.
Nakusikitikia sana kelele zako za udini hazifiki popote.
Punguza udini utakutoa akili na kuendelea kuwa MPUMBAVU WA KIFIKRA.
Isis wanalazimisha wao ndo wahusika
Hizo hasira wapelekee ISIS (islamic state of iraq and syria) waambie waache kutumia mwavuli wa dini kuua watu
 
Afghanistan na Pakistan kiasili wanaendana na Tajikistan na hao Uzbekistan.
Afghani na Paki sio Indian origin hata kidogo wana unasaba mkubwa wa kiajemi .
We ni mjinga sana pakistan na india ilikua nchi moja na ziligawanywa kwa itikadi za dini
Hata pavel musharaf waziri mkuu wa zaman wa pakistan alizaliwa new delhi ipa baada ya partition waliaamia pakistani

Makabila ya punjab na sidhi ya pakistan wale ni wahindi kabisa na ndo wako wengi sana
 
Isis wanalazimisha wao ndo wahusika
Hizo hasira wapelekee ISIS (islamic state of iraq and syria) waambie waache kutumia mwavuli wa dini kuua watu
Udini unakumaliza akili kijana.
Whatever wawe IS au wawe Daesh ulitakiwa kutaja kundi husika sio kujumuisha waislam wote kwamba kiujumla eti"waislam ndio waliohusika".
Ulitakiwa useme ISIS ndio wamehusika.
Au kisa Antibaraka wa Central African republic wanajinasibu kuwa wakatoliki je wakifanya insurgence inafaa kusema "WAKATOLIKI NDIO WAMEHUSIKA"!?
Tumia akili.
 
Unajua vyanzo ya hivyo vikundi?
Kuna maujai ya watu wengi kuliko ya Crusade war,World war 1 and 2??
Embu tupe jibu hapo.
Hitler na Benito Mussolin je hao pia ni waislam??
Hayo mambo ya middle east hauna ubongo wa kuyaelewa eidha we ni mtoto mdogo au hauna elimu nayo.
Vita vya dunia walikua wanapigania maslai na sio dini
Hawa ndugu zako wakiua wanasema allah akbar

Crusade roma empire walikuwa wanajilinda dhid ya caliphate za kiislamu zilizokua zinawalazamisha kuwa waislamu ndo maana ya crusade

Kama sio uimara wa roma empire western europe yote ingechukuliwa na waislamu na wote kuwa magaidi
 
We ni mjinga sana pakistan na india ilikua nchi moja na ziligawanywa kwa itikadi za dini
Hata pavel musharaf waziri mkuu wa zaman wa pakistan alizaliwa new delhi ipa baada ya partition waliaamia pakistani

Makabila ya punjab na sidhi ya pakistan wale ni wahindi kabisa na ndo wako wengi sana
Acha ufala wewe Pakistan wana asili ya uajemi nenda kasome.
Pakistan sio wahindi.
KUwepo baadhi ya makabila ya kihindi ndani ya Pakistan haimaanishi kuwa Pakistan are Indians.
HATA LUGHA YA PAKISTAN INA MISAMIATI MINGI YA KIFURSI.JE KIFURSI NI KIHINDI???
Wahajemi walikaa mpaka na waarabu mathalan Syria kipindi hiko ni ALEPPO wahajemi waliishi chini ya taratibu moja na waarabu wa Syria je nao tuwaite waarabu??
Kwao kuishi pamoja haimaanishi kuwa ni asili moja.
 
Udini unakumaliza akili kijana.
Whatever wawe IS au wawe Daesh ulitakiwa kutaja kundi husika sio kujumuisha waislam wote kwamba kiujumla eti"waislam ndio waliohusika".
Ulitakiwa useme ISIS ndio wamehusika.
Au kisa Antibaraka wa Central African republic wanajinasibu kuwa wakatoliki je wakifanya insurgence inafaa kusema "WAKATOLIKI NDIO WAMEHUSIKA"!?
Tumia akili.
Allah akbar
Takbiirrrr
 
Acha ufala wewe Pakistan wana asili ya uajemi nenda kasome.
Pakistan sio wahindi.
KUwepo baadhi ya makabila ya kihindi ndani ya Pakistan haimaanishi kuwa Pakistan are Indians.
HATA LUGHA YA PAKISTAN INA MISAMIATI MINGI YA KIFURSI.JE KIFURSI NI KIHINDI???
Wahajemi walikaa mpaka na waarabu mathalan Syria kipindi hiko ni ALEPPO wahajemi waliishi chini ya taratibu moja na waarabu wa Syria je nao tuwaite waarabu??
Kwao kuishi pamoja haimaanishi kuwa ni asili moja.
Pakistan ilikuwa ni india kama ulikuwa hujui uislamu ndo uliwaganya
 
Back
Top Bottom