Urusi vs Ukraine: Putin asema wataendelea kupambana hadi "malengo yao mema" yatimie

Urusi vs Ukraine: Putin asema wataendelea kupambana hadi "malengo yao mema" yatimie

Mbona Putin mwenyewe hajazungumzia hizo awamu halafu wewe mrusi wa Mwembetogwa ndio unajua hizo awamu za malengo
Huwezi kupata vitu kama hivi huko kwa mablaza wenu minato na vyombo vyao......haya sema tena mmarekani wa buza.............
Watu wapo phase 2 nyie mnapiga kelele kuhusu kiev tulieni mmegwe sasa


Screenshot_20220413-135225_Sputnik.jpg
 
Hii vita ina awamu kama serikali ya ccm, awamu ya kwanza mambo yametick, ukraine hana tena uwezo wa kijeshi kupambana yeye kama yeye hadi apewe misaada,,...ya pili watu wanavuta pumzi kwanza........malengo yasipotimia zitakuwepo hata awamu 100
Wakati huu Jeshi la Urusi linajiondoa Kharkive, tangia Jana. Lengo lao hatulijuhi.
 
Back
Top Bottom