Tatizo Pro Putin wanajizima data makusudi,hata hizo soda walizoanzisha kwani zina tofauti gani na Mo Cola na Azam Cola.Watafail tu na watarudi pale pale.
nyiny huwa ndo walalamikaj wakubwa nakumbuka kweny utawala wa JPM , kuna vitu tulikosa mlikuwa mbele kupiga kelele , ila leo hii mnahis warus wana akili km za mangosha kuwa wanywe chochote tu , kuna uchungu wanaupata kukosa yale waliyozoea , hii sio siri
Russia wanaumia ndio maana wanapigana kufa kupona vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi viondolewe na ndio maana wanazuia bandari za Ukraine zisifanye kazi.