Urusi waanzisha MacDonald yao

Urusi waanzisha MacDonald yao

Ukikosa sprite si unakunywa 7up kama mbadala?
cocca=pepsi
fanta=mirinda
bitterLemon= tonic

HAKUNA CHA AJABU
nyiny huwa ndo walalamikaj wakubwa nakumbuka kweny utawala wa JPM , kuna vitu tulikosa mlikuwa mbele kupiga kelele , ila leo hii mnahis warus wana akili km za mangosha kuwa wanywe chochote tu , kuna uchungu wanaupata kukosa yale waliyozoea , hii sio siri
 
Russia wanaumia ndio maana wanapigana kufa kupona vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi viondolewe na ndio maana wanazuia bandari za Ukraine zisifanye kazi.
 
Back
Top Bottom