Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

We unashida kichwani.
Mkuu wewe ndio unashida kwenye kichwa chako Alafu kama ni mwanamke huyo mumeo ana kazi.Niko na Bepali MK254 wewe umekuja kuingilia.Pole Sana MK254 mwenye thread angekuwa na akili Yako angetukanana Sana na Warusi wa huko Maneromango.
 
We mwanamke una roho mbaya sana, huwaonei huruma wanawake wenzako na watoto wanvyopigwa mabomu na mhalifu Putin? Duh ama kweli Kuna wanawake wapumbavu
Maandishi ya mtu yanajieleza jinsi alivyo ndani yake. Naona umetokwa na matusi sasa kiroho chako kwatuuuu.... kimetulia.

Hii vita huwa naona takwimu za mauaji upande mmoja, je kulikuwa na ubaya mimi wa mimi kupata total fatalities?
 
Njoo pm tuyajenge
 
Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO...

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the West's new "anti-Russian project." In an interview for Russian state television, he declared that the West had now "set its sights on the Republic of Moldova to have the role of the next Ukraine."

Russia's more or less direct threats against Moldova have intensified since it began the war of aggression against Ukraine almost a year ago.

In the interview, which was banned from broadcast in Moldova because of accusations of propaganda, Lavrov also stated that the pro-European Moldovan President Maia Sandu had been appointed with methods that were "far from being freely democratic" and that she was pursuing a deeply anti-Russian approach. He added that she was "a president who wants to join NATO, has Romanian citizenship, is ready to unite with Romania and, in general, is ready for almost anything."

"This is one of the countries that the West wants to turn into another anti-Russia," he said.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
 
Attachments

  • Screenshot_20230205-182220_Facebook.jpg
    Screenshot_20230205-182220_Facebook.jpg
    109.7 KB · Views: 3
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

Jamaa kapoteza wanajeshi 130,000 kimzaha pale Ukraine aking'ang'ania kamji ka chumvi huko, na hajui anatokaje, kaishiwa ilhali Ukraine ndio kama wanajiandaa kuanza vita, sasa yeye kuanzisha chokochoko nyingine ni kama kujitoa mhanga.
 
Hio idadi yako na mbona anazidi kuzitafuta nchi zingine kama hana uwezo?
 
Huyo ndyo Putin hakuna wa kumgusa
Putin endelea tupeleka moto tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huku unalia vitu vimepanda bei. Putin kwisha habari yake. Huu mwaka sasa bado hajaipiga Ukraine km tulivyoaminishwa.
Hizo chokochoko hazina kitu anafanya hivyo ili aonekane bado ana nguvu lakini hana kitu.
Hiyo vita na Ukraine, Urusi atanyoosha mikono juu na kurudi kwao.
Marekani anapigana vita anaiba mafuta yeye apate jina. Unapigana na Ukraine uchukue nini? Ni upotevu wa rasilimali tu.
 
Back
Top Bottom