Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

Hivi unapata muda wa kufanya shughuli zako za kimaendeleo?au kuwa na bwana wa kizungu kunakufanya kutwa kucha Ukraine?.
Kwahiyo na wewe unayemjibu muda wote unabwana mzungu
 
Wewe umewahi kuchungulia PM yangu mnavyojazana kupiga mizinga wakati muda wa kufanya kazi mmejigeuza marepota wa Ukraine.Au na wewe sio riziki,?
We unashida kichwani.
 
We unashida kichwani.
Mkuu wewe ndio unashida kwenye kichwa chako Alafu kama ni mwanamke huyo mumeo ana kazi.Niko na Bepali MK254 wewe umekuja kuingilia.Pole Sana MK254 mwenye thread angekuwa na akili Yako angetukanana Sana na Warusi wa huko Maneromango.
 
We mwanamke una roho mbaya sana, huwaonei huruma wanawake wenzako na watoto wanvyopigwa mabomu na mhalifu Putin? Duh ama kweli Kuna wanawake wapumbavu
Maandishi ya mtu yanajieleza jinsi alivyo ndani yake. Naona umetokwa na matusi sasa kiroho chako kwatuuuu.... kimetulia.

Hii vita huwa naona takwimu za mauaji upande mmoja, je kulikuwa na ubaya mimi wa mimi kupata total fatalities?
 
Njoo pm tuyajenge
 
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
 
Attachments

  • Screenshot_20230205-182220_Facebook.jpg
    109.7 KB · Views: 3
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

Jamaa kapoteza wanajeshi 130,000 kimzaha pale Ukraine aking'ang'ania kamji ka chumvi huko, na hajui anatokaje, kaishiwa ilhali Ukraine ndio kama wanajiandaa kuanza vita, sasa yeye kuanzisha chokochoko nyingine ni kama kujitoa mhanga.
 
Hio idadi yako na mbona anazidi kuzitafuta nchi zingine kama hana uwezo?
 
Huyo ndyo Putin hakuna wa kumgusa
Putin endelea tupeleka moto tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huku unalia vitu vimepanda bei. Putin kwisha habari yake. Huu mwaka sasa bado hajaipiga Ukraine km tulivyoaminishwa.
Hizo chokochoko hazina kitu anafanya hivyo ili aonekane bado ana nguvu lakini hana kitu.
Hiyo vita na Ukraine, Urusi atanyoosha mikono juu na kurudi kwao.
Marekani anapigana vita anaiba mafuta yeye apate jina. Unapigana na Ukraine uchukue nini? Ni upotevu wa rasilimali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…