MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hali imekua ngumu, Ukraine waligeuza kibao na kuanza kuwasukuma Warusi, hao Warusi walijaribu kubembeleza Belarus waingie kwenye vita ikashindikana, sasa wameanza janja za kupiga mabomu ndani ya Belarus ili ionekane kana kwamba Ukraine wameshambulia.
Ndege ya Urusi ilipaa kutokea Belarus kisha kiaina ikageuza na kushambulia vijiji vya hao wenyeji wake, ila huo mchezo ukashtukiwa mapema.
www.atlanticcouncil.org
Ndege ya Urusi ilipaa kutokea Belarus kisha kiaina ikageuza na kushambulia vijiji vya hao wenyeji wake, ila huo mchezo ukashtukiwa mapema.
Russian War Report: Russian false-flag operation seeks to drag Belarus into Ukraine war
A Russian false-flag attack on a Belarusian village from Ukrainian airspace was meant to provoke Belarus into moving troops into Ukraine.