passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Nenda kaangalie madhara ya Iile Bomu alafu lilikuwa ni dogo mabomu ya sasa hivi ni makubwa na Yana madhara mara 100 ya mabomu ya Japan.Acha uwongo mkuu, kwani hayo mabomu tangu yaanze kugunduliwa hayajawahi kutumika? Japan alipigwa na atomic bomb mbona dunia haikuteketea?