Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Acha uwongo mkuu, kwani hayo mabomu tangu yaanze kugunduliwa hayajawahi kutumika? Japan alipigwa na atomic bomb mbona dunia haikuteketea?
Nenda kaangalie madhara ya Iile Bomu alafu lilikuwa ni dogo mabomu ya sasa hivi ni makubwa na Yana madhara mara 100 ya mabomu ya Japan.
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Like seriously!! Ulikuwa haujui !?

Takwimu zinasema Russia ndio nchi inayoongoza Kwa wingi wa silaha hizo
 
Putin Hana ubaya wowote mmekarilishwa na west Ili iaminike kuwa ni mbaya but Putin Hana ubaya , Taifa lake linafanyiwa choko choko so mlitaka anyamanze asifanye kitu !? Kwaajili ya kulilinda taifa lake !?
 
Putin Hana tatizo lolote na USA hawana power ya kumuondoa Putin kama walishindwa Kwa Fidel Castro na Maduro wata weza vipi kuipiga nchi ynye nguvu kubwa ya kijeshi , ujue unaleta masihara Yule ni Putin na Russia sio sadam hussen na Iraq [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hao USA wenyewe Wana ijua Russia vyema .. Kesha wapa mkong'oto heavy Kule Syria aka wazuia kufanya mapinduzi Na aka wa zuia kumtoa Maduro madarakani Kule Venezuela so unapomtaja Putin na Russia yakupasa utambue kwamba unaongelea lidubwana likubwa sana Duniani
 
Ivi Putin anamuogopa biden ama vipi, mbona wakitishwa kidogo tu wanakimbilia manyuklia.

Inamana kwa silaha nyingine zote Russia wanaona hawanauwezo wa kupambana na US mbaka wanakimbilia ma nyuklia????

Kukimbilia nyuklia maana yake nikujitoa muhanga kwamba nawao wanajiuwa.
Kwasababu kuanzisha vita vya nyuklia karne hii nikama kujiuwa,sababu nawewe watakufyatua na nuclear pia.
Yani nikuiharibu dunia, warusi wenzangu wa Dar hebu nifafanulieni hii, kukimbilia nyuklia ni uoga, ama ndio kusema kwa silahanyingine hatuwezi kufurukuta kwa US.

Asanteni sana ni mimi nduguyenu mrusi wa namtumbo huku.
 
Putin anapewa za uso hawezi himili vita muda mrefu,teknolojia inabidi iendane na stability ya uchumi only nukes is his goal.
 
Nenda kaangalie madhara ya Iile Bomu alafu lilikuwa ni dogo mabomu ya sasa hivi ni makubwa na Yana madhara mara 100 ya mabomu ya Japan.
Okay tufanye mimi sijui mkuu, basi hebu nipe jibu hapa,
1. je unajua umbali wa kutoka Ukraine/Russia hadi tz?
2. Je unajua hizo modern atomic bomb demage yake inaukubwa gani?
 
Tuliza akili kijana kabla ya kujibu jitahidi kufikiri kwanza uyo urusi anapigana na watu wangapi urusi anapiga na NATO ndo maana kakimbia Nuclear unajua NATO ni muunganiko wa nchi ngapi ?? unaijua nguvu ya NATO ?? au unaongea tu maadamu uwe umeongea urusi anapigana na nchi zaidi 10+ na ushee ndo maana anakimbilia kutishia Nuclear
 
Like seriously!! Ulikuwa haujui !?

Takwimu zinasema Russia ndio nchi inayoongoza Kwa wingi wa silaha hizo
Pia takwimu zinaonyesha US ni namba 1 kijeshi.
 
Lakini urusi anao uwezo wa kupigana na NATO na akashinda.
 
Asante kwa jibu zuri
 
Lakini urusi anao uwezo wa kupigana na NATO na akashinda.
Nazani bado humjui Russia vizuri mimi sisemi atashinda au atashindwa ila kwa macho hii vita inaonyesha russia kamzidi USA kete muhimu zaidi ya 5 hivyo ushindi uko wazi
 
Kwa silaha alizopewa na kununua,UKRAINE alitakiwa kuwa namba moja kijeshi DUNIANI maana silaha za kila sehemu zipo kwake.
Na sizani kama kuna NCHI ishawahi kutumia silaha tofauti tofauti kutoka kila taifa kama UKRAINE.

Angekuwa aliyemvamia ni mchovu mchovu basi vita ingekuwa ipo kwenye NCHI ya mvamizi na sio UKRAINE.

Uzuri muda ni msema kweli tutaona mengi huko mbeleni.mshindi wa hii Vita atapatikana tu hata kama atachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…