D
Si mara ya kwanza ana ainisha haya mazoezi, au kuviweka tayari vikosi hivyo. Alishafanya saba huko nyuma mwishowe hakutumia lolote.Ikumbuke Kwamba mwishoni Mwaka wa 2021, Rais Putin aliidhinisha vikosi vya Ardhini vianze kufanya mazoezi karibu na mpaka wa Ukraine, lakini ilipofika February 2022 akaivamia Ukraine ambapo hadi leo hii 2026 bado hakijaeleweka.
Kama siku ya leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia vianze mazoezi, tutegemee vita ya Nyuklia kuanza ndani ya miezi michache ijayo???
Wamejifunza the hardway, is why wame develop silaha zao wenyewe katikati ya vita, japo ni kwa jasho na damuIlikuwa kosa kubwa sana Ukraine kukubali kuzitoa silaha zake za nuclear
Mkuu Ukraine kuna maisha nafuu kuliko hapa Tanzania tena kuwaambia watanzania waende kiev leo asilimia kubwa tunakubali offerKuna watu wana roho ngumu duniani. Imagine kuna watu bado wanaishi ukraine.
Nafikiri unashindwa kuelewa kati ya operation na vita,kwa kifupi vita usingeona raia hata mmoja hapo kievKuna watu wana roho ngumu duniani. Imagine kuna watu bado wanaishi ukraine.
Hazikua zake tanguapo. Ni za urusi iliyokuwa USsr. Ndio mana kila designed ya bunker ujue mainjinia ni warusi. Wao wanajua kuna bunkers ngap wap ngap zinaweza kuhimili nuclear attack je ni uzito wa bomu la kias gan kuisemzua bunker ikawa tope yan kila details. Vita hvi ni long game mzee kwan urusi unadham anashindwa ku carpet bomb ukraine?,Ilikuwa kosa kubwa sana Ukraine kukubali kuzitoa silaha zake za nuclear
Soma kuhusu Kirill Sinelnikov na Aleksander Leipunsky na kazi waliyoifanya The Ukrainian Institute of Physics and Technology (UFTI)Hazikua zake tanguapo. Ni za urusi iliyokuwa USsr. Ndio mana kila designed ya bunker ujue mainjinia ni warusi. Wao wanajua kuna bunkers ngap wap ngap zinaweza kuhimili nuclear attack je ni uzito wa bomu la kias gan kuisemzua bunker ikawa tope yan kila details. Vita hvi ni long game mzee kwan urusi unadham anashindwa ku carpet bomb ukraine?,
hapana,ukipewa offer ya kwemda ukraine utaenda kufanya kazi gani ambayo itakurahisishia maisha tofauti na hapa bongoland?Mkuu Ukraine kuna maisha nafuu kuliko hapa Tanzania tena kuwaambia watanzania waende kiev leo asilimia kubwa tunakubali offer
Vita sio nzuri lo