Urusi yabuni kitengo kitakachoratibu sheria za kijeshi zitakazotumika kusimamia nchi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone.

Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi.
===

Russia’s Interior Ministry has created a new department to help enforce martial law, the country’s state-run TASS news agency reported Tuesday.

The Main Directorate of Rapid Response will also coordinate ministry forces if a state of emergency or a counter-terrorism operation is declared in the country.

Warusi & wachina wameshazoea kutawaliwa kimabavu
Hata marekani inatungaga sheria kama hizo inapokuwa vitani ...kama mnakumbuka muhamadi ally bondia wa marekani alivyo goma kwenda vitani Vietnam kwa lazima MK254
 
Hali mbaya urusi ukiona hivyo ujue serikali inaelekea kuguswa ukingo wa utumbo mpana Kuna kitu tutakuja sikia siomuda

Itakua taarifa za intellijensia zinaoyesha Warusi wameanza kuchoka na watafanya yao humo...
 
Hiyo sheria ya Marshall law atafanya kazi hizo hapa

"Russian citizens across the country will face several restrictions. The restrictions placed under the name of martial law will include restriction of entry, exit and freedom of movement, search, restriction of choice of place of residence.'
 
Wameanza kamata kamata bila kujali umri

https%3A%2F%2Fcdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F220303145755-elderly-anti-war-protester-arrest-video-thumbnail.jpg
 
Marital law kwa Urusi hutangazwa wakati wa vita

Kwa kutangaza martial.law Urusi wamekamatwa uongo wake wa kuita mapigano na Ukraine ni special operation!! Ina maana sasa ime admit kuwa iko vitani sio kwenye special operation
In actual fact .Ni.kuwa Putin kashindwa kuongoza nchi .Hicho kinachoitwa kitengo ni team ya watu walipewa jukumu la kuongoza nchi .Kuna taarifa nyingi zingine zinasema Putin alishafariki dunia wanaogopa kutangaza kipindi hiki wako vitani.Na kwa kuwa kafariki dunia ndio wameunda hicho kinaitwa kitengo cha kusimamia nchi
 
Mkuu Urusi haijatangaza martial law,kukiwa Incase of state of emergency ndani ya Russia,ndio hiyo martial law inaweza kufanya kazi!
Hii Ina make sense hasa baada ya baadhi ya mataifa kutaka kutoa Long range missile,Kwa kujiandaa mrusi Kaunda timu Ili kukiwa na hali ya hatari basi ya shambulizi dhidi ya Russia,utekelezaji wa martial law ufanye kazi!
Halafu Hilo la kusema martial law Kwa Urusi hutangazwa wakati wa vita tu,nahisi umejitungia!Unaweza kutupa ushahidi wa Hilo?Kwamba hakuna state of emergency nyingine ambayo Urusi inaweza kuapply martial law?
 
Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone.

Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi.
===

Russia’s Interior Ministry has created a new department to help enforce martial law, the country’s state-run TASS news agency reported Tuesday.

The Main Directorate of Rapid Response will also coordinate ministry forces if a state of emergency or a counter-terrorism operation is declared in the country.

Sijui ni uelewa wako mdogo au ni makusudi,mbona maelezo Yako ya kiswahili yanakinzana na taarifa husika uliyoambatanisha Kwa kiingereza?
Mtu akisoma maelezo Yako ya kiswahili anaweza kuhisi Urusi Kwa Sasa inaongozwa Kwa martial law wakati si kweli!

The Main Directorate of Rapid Response will also coordinate ministry forces if a state of emergency or a counter-terrorism operation is declared in the country.
 
"kitengo kitakachoratibu sheria za kijeshi zitakazotumika kusimamia nchi'​

Kwa tafsiri halisi ni kuwa tangazo hilo ni kuwa Russia kuanzia sasa inatawaliwa kijeshi sio kiraia
Ni sawa na kusema utawala wa kiraia wa Putin umeshapinduliwa.Jeshi limeshika hatamu.

Hali hii kuna mawili ama Putin keshafariki dunia Jeshi limetwaa madaraka au Putin kapinduliwa na Jeshi na Jeshi linashika hatamu za uongozi wa Urusi
Au Putin kajiuzulu au kalazimishwa kujiuzulu na Jeshi na Jeshi kushika hatamu za uongozi
Possibility kubwa Putin kafariki
 
Marital law kwa Urusi hutangazwa wakati wa vita

Kwa kutangaza martial.law Urusi wamekamatwa uongo wake wa kuita mapigano na Ukraine ni special operation!! Ina maana sasa ime admit kuwa iko vitani sio kwenye special operation
In actual fact .Ni.kuwa Putin kashindwa kuongoza nchi .Hicho kinachoitwa kitengo ni team ya watu walipewa jukumu la kuongoza nchi .Kuna taarifa nyingi zingine zinasema Putin alishafariki dunia wanaogopa kutangaza kipindi hiki wako vitani.Na kwa kuwa kafariki dunia ndio wameunda hicho kinaitwa kitengo cha kusimamia nchi

Akili zako zilitoka pamoja na marinda,
 
Mkuu Urusi haijatangaza martial law,kukiwa Incase of state of emergency ndani ya Russia,ndio hiyo martial law inaweza kufanya kazi!
Hii Ina make sense hasa baada ya baadhi ya mataifa kutaka kutoa Long range missile,Kwa kujiandaa mrusi Kaunda timu Ili kukiwa na hali ya hatari basi ya shambulizi dhidi ya Russia,utekelezaji wa martial law ufanye kazi!
Halafu Hilo la kusema martial law Kwa Urusi hutangazwa wakati wa vita tu,nahisi umejitungia!Unaweza kutupa ushahidi wa Hilo?Kwamba hakuna state of emergency nyingine ambayo Urusi inaweza kuapply martial law?
Kuna watu mpo kwenye denial hadi mnatia huruma
 
Lete facts,Je Urusi imetangaza martial law?
Je,mazingira pekee ya Urusi kutangaza martial ni Vita?
Hiyo ni timu tu imeandaliwa ikiwa kutakuwa na escalation of the war!
Get your facts straight!
 
Mambo yao waachie wenyewe, na ahsante kwa taarifa...
 
Back
Top Bottom