Kwenye hesabu kuna kitu wanaita opportunity cost
Kursk ni opportunity cost kwa wote Russia na Ukraine
Mwanzoni ili Urusi kuikomboa kursk maana yake angeitaji kupunguza askari maeneo mengine, ambapo kwenye hayo maeneo Ukraine angefanya counter offensive na kuyarudisha, kwenye kufanya analysis akaona bora wandelee kuongeza maeneo ambayo yana rasimali nyingi, viwanda na vinu vya umeme na mito ya maji.
Mbili, Kursk imekuwa kama death trap kwa Ukraine, hadi sasa inasemekana wameshakufa askari takribani 50k ambao walikuwa bora na wazoefu, na juzi Ukraine wameongeza wengine.
UKRAINE,
Kwa ukraine, kuwepo kursk kunawasaidia kuzui Russian asifanye Sumy offensive, maana endapo Mrusi akifanya na defence line kuanguka, itakuwa raisi kwa Urusi kuchukua kharkiv na Odessa, na kusababisha Ukraine kuwa land locked country
Pia Kama ambavyo mrusi amechukua kinu kikubwa cha Nyuklia Ulaya(zaporizhia) nchini Ukraine kilichokuwa kinapeleka umeme hadi Ulaya, Ukraine na yeye alitaka kuteka kinu cha nyuklia hapo kursk ili kitumike kufanya exchange kwenye future negotiation