The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Nani alisema siku kadhaa hebu weka ushahidi wa maneno ya huyo mtu hapaVita ya siku kadhaa imekuwa ya miaka
Nani alisema siku kadhaa hebu weka ushahidi wa maneno ya huyo mtu hapa
Duh,yaani madini yote yafidie deni lote,hata kama mimi nisingekubali hadi tone la mwisho aisee,maana yake hapa itabidi baada ya hapo tuwe wachuuzi tu huku mali zetu zikiwaneemesha Urusi na marekaniHali mbaya sana Kwa Ukraine,
Na jinsi anavochelewa kusurrender
Ndo Anazid kukiuka makubaliano yake ya madini na trump,
Maana walishakubaliana na trump, deni la vita litalipwa Kwa madini yote ya Ukraine,
Na Kama mjuavyo, mashariki ndo Kuna zaid ya 70% ya madini yote Ukraine,
Sasa mashariki yenyewe ndo hiyo, Putin keshachukua mikoa 4, sahivi anafukuzia kufikisha 6.
Na Putin keshasema kabisa, ahusiki na makubaliano yake na trump, Hata vita iliisha leo, mikoa aliyochukua hairudishi, Nae ataitumia kujilipa gharama zake za vita.
Sasa sidhan kama trump atakubali kulipwa makinikia badala ya madini ya kule magharibi.
Naiona Tena Ukraine ikienda kusainishwa dili jingine Washington, sioni trump akimshuritisha Putin aachie mikoa 6 anayoishilia Kwa Sasa, kisa mikataba wake na Zelensky.
Yetu macho
Urusi anapigana Vita hii kimkakati sana naona akienda kubeba Maeneo mengi huko ukraineHali mbaya sana Kwa Ukraine,
Na jinsi anavochelewa kusurrender
Ndo Anazid kukiuka makubaliano yake ya madini na trump,
Maana walishakubaliana na trump, deni la vita litalipwa Kwa madini yote ya Ukraine,
Na Kama mjuavyo, mashariki ndo Kuna zaid ya 70% ya madini yote Ukraine,
Sasa mashariki yenyewe ndo hiyo, Putin keshachukua mikoa 4, sahivi anafukuzia kufikisha 6.
Na Putin keshasema kabisa, ahusiki na makubaliano yake na trump, Hata vita iliisha leo, mikoa aliyochukua hairudishi, Nae ataitumia kujilipa gharama zake za vita.
Sasa sidhan kama trump atakubali kulipwa makinikia badala ya madini ya kule magharibi.
Naiona Tena Ukraine ikienda kusainishwa dili jingine Washington, sioni trump akimshuritisha Putin aachie mikoa 6 anayoishilia Kwa Sasa, kisa mikataba wake na Zelensky.
Yetu macho
Hi statement kwamba, "vita ya siku kadhaa" nani aliisema?Vita ya siku kadhaa imekuwa ya miaka
Kwani walikwambia ni siku ngapi mkuu?Vita ya siku kadhaa imekuwa ya miaka
Atabeba nchi nzima huyo,taratibu tu anameza kama chatuUrusi anapigana Vita hii kimkakati sana naona akienda kubeba Maeneo mengi huko ukraine
Putins days are numbered. Huu mwaka hauishiVikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo.
Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo kutoka Ukraine wala Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Mara kadhaa Urusi imekuwa ikitaja kuwa tayari kusaini mkataba wa amani lakini ikiitaka Ukraine kujiondoa kikamilifu katika mikoa minne ambayo Urusi iliinyakua kinyume cha sheria.
Hayo yanajiri wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amewasili hivi leo mjini Kyiv katika ziara ambayo haijatangazwa na yenye lengo la kudhihirisha kuwa Ujerumani inaendelea kuunga mkono mapambano ya Ukraine.
Wadephul anatarajiwa kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andrii Sybiha.
🤣🤣🤣🤣🤣Putins days are numbered. Huu mwaka hauishi
According to youRussia is a failed state.
Huu mkoa upo DPR au LPR?Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo.
Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo kutoka Ukraine wala Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Mara kadhaa Urusi imekuwa ikitaja kuwa tayari kusaini mkataba wa amani lakini ikiitaka Ukraine kujiondoa kikamilifu katika mikoa minne ambayo Urusi iliinyakua kinyume cha sheria.
Hayo yanajiri wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amewasili hivi leo mjini Kyiv katika ziara ambayo haijatangazwa na yenye lengo la kudhihirisha kuwa Ujerumani inaendelea kuunga mkono mapambano ya Ukraine.
Wadephul anatarajiwa kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andrii Sybiha.
Ukraine is winningVita ya siku kadhaa imekuwa ya miaka
Sasa huo tuiite ni utabiri WA Nostradamus au BabavangaPutins days are numbered. Huu mwaka hauishi
Ukraine is winning