Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine.

Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora matakatifu na drones zinazonasibishwa na Uajemi, ukipenda ziite Kamikaze drones.

Kamanda huyo kaanza kutembeza kichapo hicho mara tu baada ya kikao cha Umoja wa Mataifa (UNGA) kutangaza azimio la kudai kuwa Urusi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine ni kinyume cha sheria.

Pia Urusi imeiambia NATO kuwa kwa kuwa wanaisaidia Ukraine, nayo NATO imekuwa sehemu ya mzozo. Urusi imeonya kuwa NATO ikirogwa tu kuisajili Ukraine kwenye umoja huo itakuwa ndio mwanzo wa vita ya tatu ya dunia.
===

Kyiv: Russian missiles pounded more than 40 Ukrainian cities and towns, officials said on Thursday, after a UN General Assembly resolution called Moscow’s annexation of Ukrainian territory “illegal” and Ukraine’s allies committed more military aid.

Russia repeated its position that the West, by helping Ukraine, indicated that “they are a direct party to the conflict” and warned the admission of Ukraine to NATO could trigger World War III.

“Kyiv is well aware that such a step would mean a guaranteed escalation to a World War Three,” deputy secretary of the Security Council of the Russian Federation, Alexander Venediktov, told the state TASS news agency on Thursday.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky announced a surprise bid for fast-track membership of the NATO military alliance at the end of September after Russian President Vladimir Putin held a ceremony in Moscow to proclaim four partially occupied regions as annexed Russian land.

In the past 24 hours Russian missiles hit more than 40 settlements, while Ukraine’s air force carried out 32 strikes on 25 Russian targets, Ukraine’s Armed Forces General Staff said.

Mayor of the port city of Mykolaiv, Oleksandr Senkevich, said in a social media post that the southern city was “massively shelled”.
 
Kisasi cha Urusi kwa shambulio la kigaidi walilofanya Ukraine bado chaendelea....

MK254 chukua kopi yako hapa chini👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾😄😆😅🤣😂😇😇

SmartSelect_20221013-121554_Chrome.jpg
 
Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine.

Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora matakatifu na drones zinazonasibishwa na Uajemi, ukipenda ziite Kamikaze drones.

Kamanda huyo kaanza kutembeza kichapo hicho mara tu baada ya kikao cha Umoja wa Mataifa (UNGA) kutangaza azimio la kudai kuwa Urusi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine ni kinyume cha sheria.

Pia Urusi imeiambia NATO kuwa kwa kuwa wanaisaidia Ukraine, nayo NATO imekuwa sehemu ya mzozo. Urusi imeonya kuwa NATO ikirogwa tu kuisajili Ukraine kwenye umoja huo itakuwa ndio mwanzo wa vita ya tatu ya dunia.
===

View attachment 2385702View attachment 2385703
View attachment 2385707
View attachment 2385709
Ukienda Tiktok ndo balaa zaidi maana hizo live streamings za Sky News na CBS ndo kabisaaa zinaweza kukupa presha.

Vita ni kali mnoo na seems Russia kaanza vita na anataka sasa mwenye msuli ajitokeze na kuna uwezekano akashusha Little Boy somewhere in between.

Na kitendo cha Nyambizi inqyoweza kufyatua Nukes kutoweka kimya kimya bandari za Urusi ni dalili mbaya sana kwa Mfuga Ng'ombe (Cow boy). Nimefanya uninstall ya Tiktok maana I can not bear to see those

Tuombee amani ipatikane haraka
 
Sasa urusi hataki tena Vita ya mstari wa mbele inawazingua tu, anapigana mbali tu, ya Nini ajichoshe , waukraine wenyewe wanapigana Kama marobot
Vita vya mbele vimewashinda, ni ngumu Dana kushinda vita vya anga sababu kubwa ya marekani kushindwa vita vingi ni kutumia anga Kosa lile anafanya mrussi
 
Ukienda Tiktok ndo balaa zaidi maana hizo live streamings za Sky News na CBS ndo kabisaaa zinaweza kukupa presha.

Vita ni kali mnoo na seems Russia kaanza vita na anataka sasa mwenye msuli ajitokeze na kuna uwezekano akashusha Little Boy somewhere in between.

Na kitendo cha Nyambizi inqyoweza kufyatua Nukes kutoweka kimya kimya bandari za Urusi ni dalili mbaya sana kwa Mfuga Ng'ombe (Cow boy).

Tuombee amani ipatikane haraka
Katika ujinga anaosubiria Russia nikudhani marekani atatangaza wazi wazi kwamba Yuko vitan atasubiri Sana kwa tunavyoongea marekani tayari Yuko vitani

Kwenye vita huwezi mpangia aduia Ako aje unavyotaka wewe utafail, vita ni mbinu
 
Russia kashindwa vita na hapo hata wenzake piah watawasha huko kwako tu ni suala la muda tu yeye si anapiga makazi ya raia, anavunja sheria za vita.
Ila ni kama anachochea hasira za mataifa mengi tofauti.
 
Sanction zinafanya kazi huon silaha zimemuishia anatumia drone za Iran, hawezi tengeneza silaha mpya sababu ya sanction
Amsterdam (EU/NATO) yasema kuwa Urusi yazidi kuipiga NYUNDO YA MOTO Ukraine.

Nyundo ya moto imempeleka Nyamizi mafichoni😆😅🤣😂😇😇

Cc: MK254
SmartSelect_20221013-125624_Chrome.jpg

Screenshot_20221013-125714_Chrome.jpg
 
Katika ujinga anaosubiria Russia nikudhani marekani atatangaza wazi wazi kwamba Yuko vitan atasubiri Sana kwa tunavyoongea marekani tayari Yuko vitani

Kwenye vita huwezi mpangia aduia Ako aje unavyotaka wewe utafail, vita ni mbinu
Kiintelejensia Urusi ipo juu zaidi ya Marekani. Usidhani haijulikani. Vipigo vinavyoendelea ni kumjibu US kuwa soon kinanuka hata huko kwao
 
Back
Top Bottom