Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

Sishangai​

Ex-Russian diplomat warns Putin is willing to sacrifice 20 million soldiers to win the war with Ukraine​

Bethany Dawson
Sun, October 23, 2022, 2:04 PM·2 min read
In this article:
You should have no doubt about it. He may sacrifice 10 or 20 million Russians just to win this war just to slaughter all Ukrainians because it's a matter of principle. It's a matter of political survival to him."
kuna point hapo umeitaja ndo chanzo halisi cha hii vita , Hii Vita Putin kaitengeneza ili kujimwambafai kwa warusi ili wampe tena nafas nyingine bila upinzan
 
Jamaa linang'ang'ania kainchi kadogo, limeacha ardhi kubwa sana Urusi...

1200px-Russia_Ukraine_Locator.png
Mimi nikitazama hapa ndo naamini jamaa ana upuuzi.
 
Kwa sasa hivi hata hao Warusi wenyewe wamechoka hivi vita, vijana wao wanasakwa mitaani wakapigane, wengi wanatamani yaishe tu maana hata kama ni aibu wameshapata ya kutosha, nchi yao siyo waliyodhani.
Walikwambia lini hayo?Au uliitisha kura ya maoni lini kujua hayo?
 
Huyo US alishapigana na jirani yake hapo anayesaidiwa na mataifa zaidi ya 30?

Mataifa 30 yangehusika kwenye hii vita Urusi angefutika kwa siku moja, humo kwenye hayo mataifa kuna baadhi hata hayahitaji usaidizi maana yenyewe yana uwezo wa kugaragaza Urusi, ukizingatia ambavyo ameteswa na kainchi kadogo hadi raha sana.
 
Acha uchizi wewe unataka yausike vipi.mataifa zaidi ya 50 yametoa silaha, pesa na wanajeshi na bado WARUSI wanaendeleza vita.walichobakisha ni kutoa tu ardhi ila vyote washatoa.
 
Acha uchizi wewe unataka yausike vipi.mataifa zaidi ya 50 yametoa silaha, pesa na wanajeshi na bado WARUSI wanaendeleza vita.walichobakisha ni kutoa tu ardhi ila vyote washatoa.

Kakombora kamoja ka Urusi kakosee njia na kupiga kataifa kamoja ka NATO....
 
Kwanini unadanganya?wale ni wakristo wa kiothodox

Hawa jamaa wa ajabu sana - yaani yaani chuki za zinapitiliza mipaka mpaka wanafikia point ya kujisahau wanapo sema Uongo! Mfano mtu anakujia hapa anakwambia eti Urusi hakuna Dini,sijui hawa amini Mungu hapo hapo anakwambia Urusi kuna Askofu - hii wapi na wapi - Waswahili hizi chuki zote kuhusu Taifa la Urusi zinatokana na nini? Kitu cha kwanza Urusi haikuwahi kuchukua koloni hata moja barani Afrika, Urusi haikuwahi kufanya biashara ya kubeba watumwa kwenda kufanya kazi za kitumwa huko Urusi, Urusi haikuwahi hata siku moja kuingilia masuala ya jinsi gani Serikali za kiafrika zinavyo endesha nchi zao, sana sana Urusi ilicho wahi kufanya barani Afrika ni kuwaelimisha ijana wengi wa Kiafrika kwenye nyaja mbali mbali kwenye Vyuo vikuu huko Urusi, kutoa mafunzo ya kijeshi,silaha na fedha kwa wapigania uhuru barani Afrika - bila ya msaada kutoka Urusi mataifa mengi barani Afrika yange endelea kubaki chini ya utawala wa kikoloni, hilo waswahili wengi hawalikumbuki wala kujali muda wote kazi ni kuwakandia Warusi na Wachina kwa kuwasema sema vibaya na kuwazulia mambo ambayo hayana ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom