kuna point hapo umeitaja ndo chanzo halisi cha hii vita , Hii Vita Putin kaitengeneza ili kujimwambafai kwa warusi ili wampe tena nafas nyingine bila upinzanSishangai
Ex-Russian diplomat warns Putin is willing to sacrifice 20 million soldiers to win the war with Ukraine
Bethany Dawson
Sun, October 23, 2022, 2:04 PM·2 min read
In this article:
You should have no doubt about it. He may sacrifice 10 or 20 million Russians just to win this war just to slaughter all Ukrainians because it's a matter of principle. It's a matter of political survival to him."
umeelewa lkn mantiki ya comment hiyo ? yaan Putin hajal anapoteza kias gan ila anaangalia malengo yake tuKuna nchi ina wanajeshi wengi kiasi hiki dunia hii tuliyomo?
Mimi nikitazama hapa ndo naamini jamaa ana upuuzi.Jamaa linang'ang'ania kainchi kadogo, limeacha ardhi kubwa sana Urusi...
Walikwambia lini hayo?Au uliitisha kura ya maoni lini kujua hayo?Kwa sasa hivi hata hao Warusi wenyewe wamechoka hivi vita, vijana wao wanasakwa mitaani wakapigane, wengi wanatamani yaishe tu maana hata kama ni aibu wameshapata ya kutosha, nchi yao siyo waliyodhani.
Walikwambia lini hayo?Au uliitisha kura ya maoni lini kujua hayo?
Si atakuwa anawa recruit tu,mbona keshaanza kuwazoa zoa huko mtaaniKuna nchi ina wanajeshi wengi kiasi hiki dunia hii tuliyomo?
NdiyoTena hao ndio ule ukristo Og kabisa alioutangaza Paulo
Huyo US alishapigana na jirani yake hapo anayesaidiwa na mataifa zaidi ya 30?Kila siku wanaikimbia nchi, sio kama ilivyo kwa Marekani ambapo ikiwa kwenye vita raia wake nyumbani wanakula burgers...
Kuna hii pia njoo ubwatuke Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?
Huyo US alishapigana na jirani yake hapo anayesaidiwa na mataifa zaidi ya 30?
PropagandaEndeleeni kujiliwaza na kujifariji na hilo neno "propaganda" ila wengi wa hao wanywa gongo mliowategemea wafanye chochote cha maana wanaendelea kufa, wanafyekwa mbaya mno Anger Mounts as Russian Draftees Thrown Into Battle Without Training, Equipment - The Moscow Times
Mwenye nacho ataongezewa.Jamaa linang'ang'ania kainchi kadogo, limeacha ardhi kubwa sana Urusi...
Mkataba wa wanajeshi ni kulinda Taifa na kutii amri kwa dhamana ya maisha.umeelewa lkn mantiki ya comment hiyo ? yaan Putin hajal anapoteza kias gan ila anaangalia malengo yake tu
Kama kila wakiisha wanasajili upya kwanini idadi isifike?Kuna nchi ina wanajeshi wengi kiasi hiki dunia hii tuliyomo?
Acha uchizi wewe unataka yausike vipi.mataifa zaidi ya 50 yametoa silaha, pesa na wanajeshi na bado WARUSI wanaendeleza vita.walichobakisha ni kutoa tu ardhi ila vyote washatoa.Mataifa 30 yangehusika kwenye hii vita Urusi angefutika kwa siku moja, humo kwenye hayo mataifa kuna baadhi hata hayahitaji usaidizi maana yenyewe yana uwezo wa kugaragaza Urusi, ukizingatia ambavyo ameteswa na kainchi kadogo hadi raha sana.
Acha uchizi wewe unataka yausike vipi.mataifa zaidi ya 50 yametoa silaha, pesa na wanajeshi na bado WARUSI wanaendeleza vita.walichobakisha ni kutoa tu ardhi ila vyote washatoa.
Kwanini unadanganya?wale ni wakristo wa kiothodox
Mnalishwa propaganda na mmeamua kuzimeza bila hata kutafakari. Mobilized soldiers hawajawa deployed. Ndo kwanza juzi Putin aliwatembelea kuona wanaendeleaja na mafunzo