Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

Putin amekiri kuwa Majeshi ya Ukraine 🇺🇦 yameingia ndani ya Russia 🇷🇺 Wananchi wa Urusi wamekuwa wakilishwa PROPAGANDA kwa muda mrefu sasa uongo umefika mwisho.

Huu sasa ni muda wa Dialogue.
 
Putin amekiri kuwa Majeshi ya Ukraine 🇺🇦 yameingia ndani ya Russia 🇷🇺 Wananchi wa Urusi wamekuwa wakilishwa PROPAGANDA kwa muda mrefu sasa uongo umefika mwisho.

Huu sasa ni muda wa Dialogue.
Uongo upi?
 
Kuwa Jeshi la Russia kulinda Borders za Russia wakati 🇺🇦 Ukraine forces wanakaribia Belgorod Oblast 😁
Hiyo ni leo, ikiwa ni kweli,ulidai siku zote walikua wakiongopewa,wakiongopewa nini!!
 
Wapate sababu Gani zaidi?
Wakati waukraine wanakufa kama nzige na miji inazidi kuchukuliwa?

Kuna sababu zaidi ya hizo?
Hebu acheni kuwaza kama watoto.
wazungu sio kama ccmu , hawana mkataba na Ukraine na wanampa msaada kwa limit ili akina Ukraine wajutie makosa ya kubakia neutral waliyoyafanya mwaka 1991
 
Huo ujasiri Ukraine wameutoa wapi wa kuingia Rusia ndani kabisa? Usikute myahudi yuko kazini baada ya Rusia kutangaza kuwa ataisaidia Iran Silaha za kupiga Israel
 
Upepo kwa sasa upo upande wa ukraine. Ndio sababu hata vyombo vyao vya habari(magharibi) vinatangaza sana.
Ila watajuta.
Putin kasema Ukraine wamefanya big provocation.
Hii kauli Ina maana kubwa mno.
Tusubiri.
 
Huo ujasiri Ukraine wameutoa wapi wa kuingia Rusia ndani kabisa? Usikute myahudi yuko kazini baada ya Rusia kutangaza kuwa ataisaidia Iran Silaha za kupiga Israel
Unamzungumzia myahudi huyu ambae anahangaika kuwamaliza Wanamgambo wa hamas?
Leo akamsaidie Ukraine anaesaidiwa na Mataifa makubwa yote ya kijeshi hapa duniani?
Kama hayo Mataifa makubwa yameshindwa kumuokoa Ukraine Israel itaweza wapi?
 
Pamoja na yote hayo ujue kwamba Russia haabudu utamaduni wa kiarabu kama wewe mwafrika uliyepotea.
 
Kuna namna wazungu wameshamzoea Putin na vitisho vyake vya Nuclear, au wanamtaka Putin achukue uamuzi fulani wa hasira ili wapate sababu.
Kwahio sasa hivi hawana sababu?. Na wanamtaka achukue uamuzi zaidi ya ule wa Israel anaoufanya Gaza Ili wachukue hatua?.
 
📂List of settlements in Ukraine 🇺🇦Liberated in Russia's Kursk region last week

1. Sverdlikovo
2. Lebedevka
3. Nikolaevka-Darino
4. Nizhny Klin
5. Darino
6. Gogolevka
7. Rubanshchina
8. Olesya
9. Viktorovka
10. Gornal
11. Gevo
12. Kurilovka
13. Melovoy
14. Konyachi
15. Sudja
16. Goncharovka
17. Zaolechny
18. Bogdanovka
19. Kazakhstan Lokanya
20. Nikolsky
21. Lokya
22. Leonidovo
23. Zelenyi Shalayak
24. Novovanovka
25. Tolstoy Luke
26. Pokrovsky
27. Lyubimovka
28. Obukhovka
29. Malayloka

To be continued…

At least 18 settlements are disputed in the Kursk region.


🇺🇦🫡
 
Supapawa kabanwa mbavu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…