Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Sema baadhi ya nchi tu Europe Russia inashida ya barabara mbovu na za viraka vingi.. kuna hadi private website ya malalamiko raia wanatuma picha za mashimo ya barabarani yasiyorekebishwa kwa miezi mingi hata miaka.. Russia rushwa nyingi.. hata pesa zikitokaHatari sana aisee, ukiangalia mazingira yalivyo safi unagundua hapo wanaishi raia wenye akili timamu, barabara haina viraka wala mashimo yaani imenyooka kama ruler.
Ukiuliza hiyo barabara utaambiwa hata imejengwa miaka ya 80.
Wanazitafuna kama Africa tu
Photo ID: 1900897159