Urusi yahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine kifungo cha hadi Miaka 21 kwa makosa ya ugaidi

Urusi yahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine kifungo cha hadi Miaka 21 kwa makosa ya ugaidi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mahakama ya kijeshi nchini Urusi imewahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine waliotekwa kwa makosa ya ugaidi siku ya Oktoba 17, 2025, na kuwapa vifungo vya hadi miaka 21 gerezani — katika kesi iliyopigwa vita vikali na serikali ya Kyiv na mashirika ya haki za binadamu, wakiiita “kesi ya maigizo inayokiuka sheria za kimataifa.”

Mahakama ya Kijeshi ya Wilaya ya Pili ya Magharibi mjini Rostov-on-Don ilitoa hukumu ya miaka 15 hadi 21 dhidi ya wanachama wa kikosi cha Aidar cha Ukraine

Hukumu hii inakuwa ni kesi ya pili kubwa dhidi ya wafungwa wa kivita wa Ukraine, ikifuata ile ya mwezi Machi ambapo wanajeshi 23 wa kikosi cha Azov walipatikana na hatia kwa mashitaka kama hayo

1760768865164.png





Source: African news
 
Back
Top Bottom