ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi.
Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo ndani ya nchi hizo, hasa tangu Urusi ijiingize kwenye eneo hilo imevuruga kabisa ushawishi wa Ufaransa kwenye makoloni yake ya zamani na kwa sasa Ufaransa haitakiwi eneo hilo kuanzia raia mpaka serikali zao wote wameungana kuwafukuza Wafaransa.
Nadhani wenye nchi zao wamegundua kuwa Ufaransa ni walaghai na ndo chanzo cha matatizo yasiyo isha ndani ya mataifa yao kwa sababu tangu Urusi ijiingize eneo hilo matizo ya kiusalama yamepungua sana ndani ya nchi hizo.
Mfano nchi kama Afrika ya kati tangu Urusi imepeleka wana jeshi wake masula ya watu kuuwana kwa misingi ya kidini yaani mapigano ya waislam na wakristo yameisha kabisa na maisha yamerudi kuwa kawaida ,wakati Ufaransa ina zaidi ya miaka kumi imepeleka wamajeshi lakini hakuna cha maana walicho kifanya.
Nchi kama Niger, Mali, Burkina Faso na Chad, ambazo ilikuwa haipiti wiki bila kusikia magaidi wamevamia makambi ya jeshi na kuuwa wanajeshi, sijui Magaidi wamevamia hotel wameuwa raia wa kigeni, sijui magaidi wamevamia vijiji na kuuwa mamia ya watu,lakini tangu Urusi ipeleke wapiganaji wake kupitia Wiger huu upuuzi umepungua sana.
Na sasa hivi nasikia Urusi imeanza kupeleka wapiganaji wa Wiger nchi Congo kwa hiyo ni suala la muda tu kwa wamagharibi wanao ivuruga Kongo kupitia kibaraka wao Kagame ili waindelee kupora rasilimali za wakongo na penyewe kupakimbia maana pata kuwa pachungu kwao.
Wewe usione nchi za magharibi zina ichukia Urusi ni zina haki kuichukia kwa sababu imekuwa mvurugaji wa ajenda zao ovu ndani ya dunia hii, na ndio maana unaona wanachangishana silaha kwa hali na mali kupeleka Ukraine ili kuikomoa na kuidhohofisha Urusi lakini na penyewe watashindwa tu hata kama ni miaka 15.