Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

Mkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Neno misaada linapoteza radha ya ulichokiandika,

Nenda kajifunze maana ya neno misaada
 
Hizi ndio akili za mwafrika pure,ndio maana hata kwenye covid 19 jiwe aliweza kuwarisha matango poli mkawa mnayameza tu!!yaani mzungu angetaka kukuua wewe na ukoo wenu wote asingeshindwa na hata leo hashindwi.
Kwa hiyo unabisha kuwa ukimwi haujatengenezwa Marekani?
 
Back
Top Bottom