Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

Misaada ikiisha ndo watajifunza kujitegemea.Kumbe bora mrusi awepo.
 
Hakuna mtu mweupe atasaidia afrika
Mwarabu alikuuza utumwani
Mzungu alikukolonize
Machina ananyonya
Hii ni dunia Kila mtu amle kibonde wake,kagame yupo right
 
Taja misaada ya maana iliyotoka Magharibi kuifaidisha Afrika halafu compare na China.
 
Unajua wanachokipata kutoka West Africa?

Misaada siku hizi ipo mpaka Uchina
 
Hakuna mzuri hata mmoja! Wote wanagombea mlo!
Penye usaha hapakosi inzi!
 
Hebu tutolee kelele
 
hulka
 
Wewe umeifanyia nini nato au ulaya na washirika wake
 
America na Europe wana ajenda yao Afrika ya wagawe na uwatawale na waibie rasilimali zao. Sasa mrusi kapiga darubini yake kaona America na Europe ndio zinazowafanya waweze kuwa juu kimaisha. Sasa Afrika ikitulia itataka ijunufaishe wenyewe.
 
Mkuu nafikiri kuna mambo mengi hujui kuhusu Urusi. Kwa taarifa yako Urusi ndio imekuwa ikisaidia sana kuondoa ukoloni mambo leo Afrika. Nchi za SADC zilisaidiwa na huyo Mrusi kupata uhuru. Tanzania tumesaidiwa na Mrusi na Mchina katika kukuza ulinzi wa taifa letu. Bila Mrusi na Mchina kiulinzi tungekuwa hoi sana. Nchi za magharibi kazi yao kubwa ni dividing rule ili waendelee kuzitawala nchi hizo. Mrusi pamoja na kuwa taifa kubwa lakini halijawahi tawala nchi hata moja hapa Afrika. Warusi wanapenda sana waafrika wajitambue kwa kufanyakazi na kupambana na maisha mwenyewe siyo kukupatia msaada wa kukudumaza kiakili kama ambavyo wanafanya nchi za magharibi.
 
Sasa unaleta upuuzi uachwe? Mbona umekuja na vumbi vipi au nawe umepata pihechidii ya mchongo? Humu ukileta upuuzi utazabuliwa tu.
Kubishana na walevi wa gongo sitaki.
 
Sahihi kabisa
 
Misaada ikiisha ndo watajifunza kujitegemea.Kumbe bora mrusi awepo.
mbona hapa kipindi cha jpm misaada mingi ilipoanza tu kupunguzwa mlikuwa mna hahahaaa!!na kama hadi sasa angekuwepo cjui ingekuwaje?yqqni mshindwe kujitegemea kipindi kizuri mje kujitegemea wakati hakuna kitu kweli!??Huyo aliyekuwa ana kopa kwa siri akiwadanganya wananchi kuwa tunajitegemea.
 
At least 15 Nigerian Muslim pilgrims on their way to Senegal were killed when gunmen in Burkina Faso attacked the buses transporting them aje.io/kzln32

Aljazeera, February 7 2023.
 
Suspected jihadists killed eight civilian volunteers and seven gendarmes during an ambush in central-northern Burkina Faso, security sources told AFP.

The patrol was "caught in an ambush" in the Koumestenga area on Wednesday, one source said.

AFP, February 10 2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…