Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Mwaka huu tutashuhudia mengi. Wakoloni wa Afrika wanazidi kuumbuliwa na Urusi kupitia nishati za Urusi. Hivi sasa Putin amekula sahani moja na Ufaransa kwa kumkatia gesi Macron baada ya Ufaransa kukosa pesa ya kulipia gesi iliyotumia mwezi July.
Wakoloni hawa walizoea kupewa gesi ya dezo na Putin, lakini sasa hivi Putin kaamua kuwauzia gesi kwa bei juu hadi wanashindwa kumudu kulipia.
=======
Wakoloni hawa walizoea kupewa gesi ya dezo na Putin, lakini sasa hivi Putin kaamua kuwauzia gesi kwa bei juu hadi wanashindwa kumudu kulipia.
=======