GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,094
Na chakushangaza zaidi analipa in Rubles [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hapo ndio utakapojua kuwa vikwazo ni maneno tu, Maana USA anaagiza bidhaa za mamilioni ya fedha kutoka Urusi unadhani analipa kwa pesa gani??
Tupe list ya bidhaa hizo na sisi tuzione