Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
I thought you were about to elaborate your reason on justifying transpired during and after the elections.What common thing do you see they all have together?
Uranium inachimbwa kama Aids au ni business yenye contract deal na kila pande inanufaika?uranium unaichimba wewe sio
Bye byeI thought you were about to elaborate your reason on justifying transpired during and after the elections.
Goodnight, just don’t doctor ‘social media’ of other nations to push your cheap propaganda narratives; we are not stupid here in JF.
Say hi to your fellow killers 👋
fanya kazi acha kupenda vya bure
hawana tofauti na masheik ubwabwaKwa hiyo warusi nao wamekuwa kama masheikh wetu, wanajibu vitu vidivyo wahusu na hawajaandikiwa wao? Who are you?
Kuna ile progrma yao inaitwa alabuga wanachukua vijana wakike wadogo kwenda kufanya kazi urusi kumbe wengi uishia kwenda kwenye viwanda vya kutengeneza silaha.Msaada pekee kutoka urusi ni kufanya mabadilishano ya kuwapeleka Vijana wa kitanzania kwenye uwanja wa mapambano na wao kutoa scholarship, nafasi za ajira urusi fake.
Hao jamaa ni zaidi ya mashetani.Kuna ile progrma yao inaitwa alabuga wanachukua vijana wakike wadogo kwenda kufanya kazi urusi kumbe wengi uishia kwenda kwenye viwanda vya kutengeneza silaha.
Kuna ile progrma yao inaitwa alabuga wanachukua vijana wakike wadogo kwenda kufanya kazi urusi kumbe wengi uishia kwenda kwenye viwanda vya kutengeneza silaha.
Warusi wenyewe wamejaa Dar es salaam njaa kali sambamba na waha, endeleeni na utaahira tu