Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Su-25 ya Urusi ikitunguliwa toka angani huko Kharkiv

 
Huyo Russia kaishiwa tu, uchumi umeshaanza kuporomoka wao walifikiri vita ni lelemama. Yaani Russia anapewa silaha na Iran?

This Russia is a pale shadow of what USSR used to be.
Lete statistics Acha kuropoka
 
Usirudie kujiaibisha warusi ni watengenezaji wakubwa wa silaha hawawezi kuishiwa
 
Sasa hapo anapigana na Ukraine ambaye hata jeshi hakuwa nalo

Siku ajipeleke kwa Poland si atahama
Kumbe hujui kitu Ukraine ni ya 28 kijeshi duniani tatizo lako naona huna information.
 
Hao wengine wana Nyuklia kama yeye alivyo nazo. Kwa iyo uwezi kuanzisha mchezo wa kurusha mawe na wakati unakaaa ktk nyumba ya vioo
Si anakubali wote tukose?
Kwani us alivyoioiga japani wengine hawakuanazo?
 
Kwahiyo SAM systems za Ukraine zina deal na ndege tu? Haziwezi ku engage makombora?
 
Kwahiyo SAM systems za Ukraine zina deal na ndege tu? Haziwezi ku engage makombora?
Ni Rahisi kutungua Fighter jets kuliko Kombora. Ukraine imeshatungua Makombora mengi sana ya Urusi kwenye hii Vita lakini haiwezi kutungua Makombora yote ya Urusi kwasababu Haina Mifumo ya Kutosha ya kutungua hayo Makombora. Mwanzoni mwa Vita Urusi Alikuwa anarusha Makombora 200 kwa Siku. Huwezi kutungua Makombora 200 kwa Siku. Hata Urusi Drones za Ukraine na Makombora ya HIMARS ameyatungua Sana lakini yaliyofanikiwa kupenya ndio hayo yanalipua daraja na Mengine Kuharibu Miundombinu ya kijeshi katika maeneo yanayodhibitiwa na Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…