Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

Pia naomba niwape elimu kidogo kuhusu Sanction regime,(mbinu ya vikwazo). Hakuna nchi itakayomwekea mwenzake vikwazo ambavyo haviumizi maana lengo la vikwazo ni kuumiza. Iwe kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k hivyo nchi inapochagua kuweka vikwazo inafanya tathmini ya kina kuona madhara yatokanayo na vikwazo husika.

Vikwazo vipo vya aina nyingi lakini tumeozoea quantitative(quota) hapa wanaweka kiwango maalumu unachoweza uza au nunua.

Na cha pili ni kuzuia kabisa(embargo) marufuku kununua au kuuza.

Lakini pia Kuna njia za kukwepa vikwazo Kwa kupitia mtu wa pili ananunua kisha anauza Kwa aliyezuiliwa. Hii tumeona nchi za ulaya wananunua mafuta na gas ya Urusi kupitia India, China, Uturuki n.k. madhara yake bei inakuwa kibwa sana maana transport costs na handling costs zinakuwa nyingi.

Shida ya uranium ni grade specific Kwa watumiaji fulani na sio Kila nchi inaweza kuhandle Uranium especially enriched one. Hivyo ni disaster kibwa Kwa Marekani na hata wasrika wake
Hii vita imetusaidia sana kujua akili za wazungu.
 
Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi.

Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza robo ya uranium yake iliyotajwa kutoka nchini Urusi.

Urusi ilisema vikwazo hivyo vya muda ni jibu kwa marufuku ya Marekani ya kuagiza uranium kutoka Urusi, ambayo ilisainiwa kuwa sheria mapema mwaka huu, lakini ikijumuisha masharti ya kuendelea kwa usafirishaji endapo kutatokea wasiwasi wa upungufu wa usambazaji hadi mwaka 2027.
=============================
The Russian government has imposed temporary restrictions on the export of enriched uranium to the US.

Russia has imposed restrictions on the export of enriched uranium to the United States, the government said on Friday, creating supply risks for U.S. nuclear power plants which last year imported a quarter of their enriched uranium from the country.

Russia said the temporary restrictions were a response to Washington's ban on imports of Russian uranium, which was signed into law earlier this year, but contained waivers allowing for shipments to continue in case of supply concerns through 2027.
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
 
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
Uranium iko hata Bahi na kwenye mbuga za wanyama ya Selous.
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
 
Uranium iko hata Bahi na kwenye mbuga za wanyama ya Selous.

Ya selous(zamani)nyerere national park(sasa) warusi wameanza kuchimba
 
Kwa sababu hela anayo na ananunua anapopataka yeye kwa diverfification sio kununua nchi moja tu. Kama hutaki kumuuzia unaacha baki na bidhaa zako abaki na hela yake.
Kama ingekua ukiwa na hela tu unapata unachotaka kusingekua na haja ya vikwazo duniani
 
Back
Top Bottom