Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

Hii vita imetusaidia sana kujua akili za wazungu.
 
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
 
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
Uranium iko hata Bahi na kwenye mbuga za wanyama ya Selous.
Ivi russia ndio wanatoa madini ya uranium pekee duniani?
 
Ya selous(zamani)nyerere national park(sasa) warusi wameanza kuchimba
 
Kwa sababu hela anayo na ananunua anapopataka yeye kwa diverfification sio kununua nchi moja tu. Kama hutaki kumuuzia unaacha baki na bidhaa zako abaki na hela yake.
Kama ingekua ukiwa na hela tu unapata unachotaka kusingekua na haja ya vikwazo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…