Urusi yang'aka kuhusu ziara ya Zelensky kule USA

Urusi yang'aka kuhusu ziara ya Zelensky kule USA

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo???
Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee...

screen%20shot%202016-03-10%20at%2012.18.44%20pm.png


The Kremlin said that nothing good would come from Ukrainian President Volodymyr Zelensky's trip to Washington on Wednesday and that Russia saw no chance of peace talks with Kyiv.


In a call with reporters, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said that continued Western arms supplies to Ukraine would lead to a "deepening" of the conflict - something which could backfire on Kyiv, he warned.


"The supply of weapons continues and the range of supplied weapons is expanding. All of this, of course, leads to an aggravation of the conflict. This does not bode well for Ukraine," Peskov said.
 
Ukisoma maelezo ya taarifa na utangulizi wako Huwa ni vitu viwili tofauti😆
 
Kuna muda tunakurupuka kutoa taarifa maelezo na kichwa Cha habari vitu viwili tofauti
 
Warusi na Putin wao ni watu wa ajabu na huenda wa hovyo sana, wamevamia nchi ya watu, wameua na kuangamiza raia wasio na hatia halafu wenye nchi yao wakijitetea au kujilinda wanang'aka kama mbwa wenye vichaa.
Mbona Russia wanalia sana Patriot Air Defence System kupewa Ukraine kwani nani amemlazimisha kukaa Ukraine si waondoke warudi kwao.
 
Warusi na Putin wao ni watu wa ajabu na huenda wa hovyo sana, wamevamia nchi ya watu, wameua na kuangamiza raia wasio na hatia halafu wenye nchi yao wakijitetea au kujilinda wanang'aka kama mbwa wenye vichaa.
Na wanang'aka mpaka sio poa,nimetoka kumsikiliza Peskov analalamika kwamba Marekani inapigana proxy war dhidi ya Russia Kwa kuitumia Ukraine [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom