Urusi yapiga kombora Ukraine, yaharibu bohari ya silaha za Marekani na Nchi za Ulaya

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya.

Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk.

Serikali ya Ternopil imesema makombora yaliyorushwa pia yamejeruhi watu 22. Tukio hilo limetokea wakati ambapo bado kuna vuta nikuvute ya Urusi dhidi ya Nchi kadhaa za Ulaya na Marekani ambazo inaiunga mkono Ukraine katika vita inatoendelea.

Source: NDTV

------------------

Destroyed Depot With Western Weapons In Ukraine: Russia

Russian forces fired cruise missiles to destroy a large depot containing U.S. and European weapons in western Ukraine's Ternopil region, Interfax reported on Sunday, as street fighting raged in the eastern city of Sievierodonetsk.

The governor of the Ternopil region said a rocket attack on the city of Chortkiv fired from the Black Sea had partly destroyed a military facility, injuring 22 people. A local official said there were no weapons stored there.

Reuters could not independently confirm the differing accounts.

Moscow has repeatedly slammed the United States and other nations for supplying Ukraine with weapons. President Vladimir Putin said earlier this month that Russia would strike new targets if the West supplied longer-range missiles to Ukraine for use in high-precision mobile rocket systems.

Ukrainian leaders have renewed pleas to Western countries in recent days to speed up deliveries of heavy weapons as Russian forces pound the east of the country with artillery.

Sievierodonetsk has become epicentre of the battle for control over the industrialised Donbas region in the east, made up of Luhansk and Donetsk provinces. Parts of the city have been pulverised in some of the bloodiest fighting since Moscow began its invasion on Feb. 24.

Luhansk Governor Serhiy Gaidai said on Sunday that Ukrainian and Russian forces were still fighting street by street in Sievierodonetsk. He said that while Russian forces have taken most of the city, Ukrainian troops remain in control of an industrial area and chemical plant where hundreds of civilians are sheltering.

After being forced to scale back its initial campaign goals Moscow has turned to expanding control in the Donbas, where pro-Russian separatists have held a swath of territory since 2014.

Ukraine has said some 800 people were hiding in bomb shelters under the Azot plant, including employees and city residents.

"No one can say whether and how many victims there have been in the last 24 hours in Sievierodonetsk, where intense fighting continues," Gaidai said on the Telegram messaging app on Sunday.

"Everyone wants to evacuate now, probably, but so far there is no such possibility,"

In Lysychansk - Sievierodonetsk's twin city across the Donets River - a woman was killed in Russian shelling while four houses and a shopping centre were destroyed, Gaidai said. by

To the south and southwest of Sievierodonetsk, Russian forces were firing mortars and artillery around a number of settlements, according to a daily update from Ukraine's general staff. But it said Ukrainian forces had repulsed Russian attempts to advance towards some communities.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajabu Ni Kwamba licha ya haua yoote Aljazeera, Times, Moscow Times, CNN BBC na mfanowe Bado wanatuaminisha Ukraine inaelekea kushinda Vita
Mwanzoni mwa Vita walitwambia Kwamba Russia wanna chakula Cha kutosha siku 7 TU za mapigano.

Baadae wakajaribu kutuaminisha wanajeshi was Russia wanagoma kuskiliza na kutekeleza Amri.

Baadae wakasema Russia Haina uwezo was kusurvive vikwazo japo kws miezi miwili hivyo basi ifikapo mwanzoni mwa Mey watakuwa wamesarenda.

Baadae wakatueleza Kwamba kichapo kinahamia Moscow coz Tayari wamewakimbiza warusi mpaka mpakani.

Cha ajabu Warusi wa Kremlin hawaongei Sana
 
sijawai kuona media yoyote iliyotabir hatima ya hii vita mbali na kusema maeneo, ambayo Ukraine inasonga mbele , nyinyi vilaza ndo mnataka taarifa mbovu tu ya Ukraine , mkisikia taarifa nzur ya Ukrain vichwan mwenu mnahis kama mmeambiwa Ukraine itashinda vita hii , baada ya vitaa hii bara la Afrika inabid lipimwe utimamu wa akili tuna vichaa wengi sana na ndio maana ugaid unashamir
 
sijawai kuona media yoyote iliyotabir hatima ya hii vita mbali na kusema maeneo, ambayo Ukraine inasonga mbele , nyiny vilaza ndo mnataka taarifa mbovu tu ya Ukraine , mkisikia taarifa nzur ya Ukrain vichwan mwenu mnahis kama mmeambiwa Ukraine itashinda vita hii , baada ya vitaa hii bara la Afrika inabid lipimwe utimamu wa akili tuna vichaa wengi sana na ndio maana ugaid unashamir
Kwamba huamini Urusi amepiga bohari la silaha za west? Sasa kama huamini jiulize kwann Ujerumani leo amezuia vifaru vya Spain visipelekwe Ukraine, sasa Ujerumani anazuia silaha kupelekwa Ukraine kwa sababu anajua nn kitakachofuata, Uzuri Putin anapoongea huwa anafanya kweli, na bado mtachezea kichapo amabcho kwa miaka hii ya karibuni hamnjawahi kuchezea, Urusi hii operation alijiandaa kitambo sana
 
😁😁😁😁 Putin unazidi kunifurahisha sana kwa kweli …

Mwenyewe Mungu akusimamie ushinde vita hii uuoneshe ulimwengu kua kuna Dunia bila Marekani …
Kwani hii ni vita ya Marekani?
Nawe unaamini kuwa mrusini ni rafiki yako?
 
Ndio Marakani ndio mfadhili wa hii vita, bila ya Marekani kusingetokea hii operation, back kuna history nzuri kati ya Ukraine na Urusi
JamiiForums-800526453.jpg
 
Bye Bye NATO
Finland president Sauli Niinisto: We will not join NATO without Sweden.
#Erdogan : Will make sure Finland and Sweden are kept Out Of NATO
bila shaka baada tu ya sweden na finland kutangaza nia yao rasmi yakujiunga NATO alichofanya putin nikumpigia erdogan simu nakumwambia azuie upuuzi huo wa nchi hizo wakujiunga NATO...ndio maana urusi hata baada ya nchi hizo peleka maombi hajadeal nazo sana sababu anajua hilo jambo kwa hizo nchi kufanikiwa haitowezekana, ila kama urusi asingekuwa na njia nyingine yakuzizuia zisijiunge na NATO kama hiyo yakumtumia mturuki lazima angezitandika makombora tu, urusi hawezi kukubali kamwe NATO waweke millitary base zao karibu na mipaka yao, yaani aizuie ukraine isijiunge nato alafu aziachie sweden na finland? Na kama putin ataruhusu hilo kutokea litakuwa ni kosa kubwa sana,yale maneno waliyoyatoa urusi kuwa hawaoni shida nchi hizo kujiunga nato kwakuwa wamekuwa wakifanya mazoezi yakijeshi pamoja ni siasa tu hizo...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Putin unazidi kunifurahisha sana kwa kweli …

Mwenyewe Mungu akusimamie ushinde vita hii uuoneshe ulimwengu kua kuna Dunia bila Marekani …
Mtu anayeua watu anakufurahisha. Inabidi shetani akupe medal we na Putin wako.
 
bila shaka baada tu ya sweden na finland kutangaza nia yao rasmi yakujiunga NATO alichofanya putin nikumpigia erdogan simu nakumwambia azuie upuuzi huo wa nchi hizo wakujiunga NATO...ndio maana urusi hata baada ya nchi hizo peleka maombi hajadeal nazo sana sababu anajua hilo jambo kwa hizo nchi kufanikiwa haitowezekana, ila kama urusi asingekuwa na njia nyingine yakuzizuia zisijiunge na NATO kama hiyo yakumtumia mturuki lazima angezitandika makombora tu, urusi hawezi kukubali kamwe NATO waweke millitary base zao karibu na mipaka yao, yaani aizuie ukraine isijiunge nato alafu aziachie sweden na finland? Na kama putin ataruhusu hilo kutokea litakuwa ni kosa kubwa sana,yale maneno waliyoyatoa urusi kuwa hawaoni shida nchi hizo kujiunga nato kwakuwa wamekuwa wakifanya mazoezi yakijeshi pamoja ni siasa tu hizo...
Uisahau kuwa hao Finland na Sweden wanaugomvi na Turkey before ya vita ya Ukraine na Russia coz Turkey anazishtumu Finland na Sweden kutoa ufadhili na misaada kwa waasi wa pkk wanaotaka kuanzisha ardhi yao ya wakurd hvy basi turkey hawezi kamwe kukubali ujinga wa hao wapuuzi wawili kujiunga nato
 
Kwamba huamini Urusi amepiga bohari la silaha za west? Sasa kama huamini jiulize kwann Ujerumani leo amezuia vifaru vya Spain visipelekwe Ukraine, sasa Ujerumani anazuia silaha kupelekwa Ukraine kwa sababu anajua nn kitakachofuata, Uzuri Putin anapoongea huwa anafanya kweli, na bado mtachezea kichapo amabcho kwa miaka hii ya karibuni hamnjawahi kuchezea, Urusi hii operation alijiandaa kitambo sana
Wacha wazungu nao wafe, walizoea kuua WAARABU na waafrica.
 
Back
Top Bottom