Urusi yapitisha ndege za Kijasusi Alaska, Marekani

Urusi yapitisha ndege za Kijasusi Alaska, Marekani

Russia amechelewa kwenye mipango hii ya kuiteka Alaska angalia Sweden na Finland tayari wameanza mchakato wa kujiunga NATO...hii mikwala mbuzi ya Russia haijaanza Leo ni miaka mingi huwa anafanya upelelezi wa Aina hii
 
inabidi afanyiwe kitu hapo aache kujibebisha na taiwan
 
Mifumo ya ulinzi wa angani naona ili lala huu ni muda wa kulichukua eneo letu la alska hakuna watu waoga vitani kama wa Marekani si ajabu wameanza kukimbia eneo hilo
Alaska lazima irudi Russia kama tubavyo itwaa tena Ukraine, na wakile fyoko fyoko tubaibeba na Poland pamoja na Finland
 
Eti nini? Kwamba Russia avamie Alaska? Aliuza mwenyewe saivi anataka kupeleka makalio yake kwa wanaume wanafikiri ni Crimea hiyo hahahaah
 
Eti nini? Kwamba Russia avamie Alaska? Aliuza mwenyewe saivi anataka kupeleka makalio yake kwa wanaume wanafikiri ni Crimea hiyo hahahaah
Pesa tulikula na tutalichukua kwa nguvu US hana ubavu wowote wa kuizuia Russia, US raia wake wengi mpaka Wanajeshi wameshafumiliwa sildi hawana maamuzi ya kiume
 
Back
Top Bottom