Urusi: Yaripoti visa vipya zaidi ya 10,000 vya #covid19

Urusi: Yaripoti visa vipya zaidi ya 10,000 vya #covid19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Idadi ya jumla ya walithibitishwa kuwa na #CoronaVirus Urusi imfikia 134,687 baada ya watu 10,633 kuthibitika kuwa na #CoronaVirus ndani ya masaa ishirini na nne. Pia jumla ya vifo 1,280 vimerekodiwa

50% ya waliothibitika kuwa na #CoronaVirus hawakuonyesha dalili za kuugua ugonjwa huo

Awali Rais wa Urusi aliwaambia wanchi kwamba kila kitu kipo shwari na ugonjwa wa #COVID19 unadhibitika lakini Aprili 13 alibadilika na kusema ‘tuna matatizo mengi’

Na alawataka wataalamu kuweka juhudi kwa kuwa wameshindwa kuudhibiti mlipuko huo

====

Russia reported 10,633 new cases of the coronavirus in another record single-day increase Sunday, bringing the total number to 134,687.

Around 50% of the cases were asymptomatic, the country’s coronavirus response headquarters said in a statement, adding that a total of 1,280 deaths had now been recorded.

Russia has seen four consecutive days of record single-day increases after a week of relatively steady growth, when it added five to six thousand cases per day. Moscow, the country’s worst-hit city, accounts for more than a half of total cases.

In March, Vladimir Putin radiated confidence about his government's response to a growing global crisis, reassuring his citizens that the situation was "under control" thanks to early intervention measures. The Russian President then played the role of international rescuer, dispatching a planeload of medical supplies to New York's John F. Kennedy Airport.

But by April 13, the mood had changed. "We have a lot of problems," Putin said in a video conference. "There is nothing to boast about, and we must not let our guard down, because in general, as you and your specialists say, we have not passed the peak of the epidemic yet."
 
Zamu ya urusi sasa

Sisi ngoja tusubir ndege ya mzee irud kutoka kisiwan
 
KITU NIMEJARIBU KUKIFIKIRIA NA KUSHANGAZWA NA JINSI MATAIFA MAKUBWA YANAVYOWEZA KUPIMA WATU WENGI (10,633) NA MAJIBU KUTOKA KTK SIKU HIYO HIYO!!!
The difference is like sky to an earth!
ambao mpaka sasa hawaja gundua kuwa huu ugonjwa ndani yake kuna ujanja ujanja watakuwa ni vipofu wa kufikiri
 
ambao mpaka sasa hawaja gundua kuwa huu ugonjwa ndani yake kuna ujanja ujanja watakuwa ni vipofu wa kufikiri
inakuwa vyema sana, ukiongelea hii janja janja ndani yake, otherwise jitahidi kukaa kimya.
Maana tushaona vifo 16 na wagonjwa wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inakuwa vyema sana, ukiongelea hii janja janja ndani yake, otherwise jitahidi kukaa kimya.
Maana tushaona vifo 16 na wagonjwa wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani malaria haiui watu... HIV haiui watu..!? so lipi jipya hapo.... malaria inaua zaidi ya watu 100 kwa siku..still unaiona corona ni hatari zaidi ya magonjwa mengine... ?
 
Balaa limehamia Russia na Brazil kwa sasa
COVID 19 ipo sana mpaka itakapopatikana chanzo
 
Jikinge wakinge wengine corona ipo na inaua
 
KITU NIMEJARIBU KUKIFIKIRIA NA KUSHANGAZWA NA JINSI MATAIFA MAKUBWA YANAVYOWEZA KUPIMA WATU WENGI (10,633) NA MAJIBU KUTOKA KTK SIKU HIYO HIYO!!!
The difference is like sky to an earth!
Kikichonishangaza ni kuona asilimia hamsini ya waliopima wana Corona lakini hawana dalili za kuumwa.[emoji848]
 
Back
Top Bottom