Ami una shida gani kichwani ?Ona picha ya moto kwanza halafuj sikiliza kelele za makamanda wa Ukraine. Kama yote yamedunguliwa kelele za nini.
Raia ambao ni wanajeshi na maafisa wa NATOurusi kutoka kuivamia kiev hadi kuvizia raia aiseee
... eti kelele! Panya road na panga zao mbona mtapiga kelele?Ona picha ya moto kwanza halafuj sikiliza kelele za makamanda wa Ukraine. Kama yote yamedunguliwa kelele za nini.
Hatujaona mitandaoni wala kideoniKwa mujibu wa DW mashambulizi ya jana yalisababisha uharibifu mkubwa ikiwemo kuporomosha majengo na magari mengi kuwaka moto, lakini pia tukiachana na hiyo habari ya DW kuna video zimeanza kusambaa zikionesha milipuko mikubwa ndani ya Kiev.
Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati yao yakiwa ni Kinzha Hypersoni na kwamba ni watu 3 tu waliojeruhiwa na gari moja kuungua kwa kuangukiwa na mabaki ya hyepersoni.c .Urusi yenyewe jimesema makombora yote yalikuwa ni ya kawaida na kwamba yote yalipiga yalipokusudiwa.Zaidi ya hivyo wameangamiza patriot 1.
Maafisa wa jeshi la Ukraine wamekiri hawajapata kuona mashambulizi makubwa kiasi hicho jijjini hapo lakini hakuna hasara..Habari hizo zinapingana na idadi ya miripuko ya ardhini iliyosikika na wakaazi wengi na idai ya mioto mikubwa iliyokuwa ikizimwa.
Endelea kujifariji kk ila kipigo cha jana achaa kabisaUrusi haamini kwamba hawezi tena kupiga KyivView attachment 2624426
Urusi imekuwa kitukourusi kutoka kuivamia kiev hadi kuvizia raia aiseee